Je, hii ni kujihami dhidi ya maandamano ya CDM kesho?

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Wadau kutokana na tunachokiona ,leo serikali imejitokeza na kutuma ujumbe mkubwa ukiwahusisha mawaziri,mwanasheria mkuu wa serikali pamoia na makada waandamizi wa ccm kwenda kwenye vituo vya luninga nchini kuitetea rasimu ya katiba iliyokataliwa na wananchi.
*JE NI DALILI ZA SERIKALI YA CCM KUINGIWA HOFU NA TANGAZO LA AZMA YA CHADEMA KUITISHA MAANDAMANO YA NCHI NZIMA KUPINGA MUSWADA HUO???.
 
Mbona maandamano yenyewe yamehairishwa?au ni kwa Mby tu?maana toka watu wamesikia yamehairishwa watu wana udhuni mno,
 
Na badoooo
watauma sana meno na kubana p**** mpaka ziwake moto!hilo dubwasha hatulitaki hata kuliona nini kulisikia!
hata wamtume JK hatukubaliiiiii.
 
tttttttttttttttttttttttttuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu lllleeeeeiiiiiiiiiiiiiiiiiiitttttttttt!
 
Kwani CCM si warukia wa hoja za upinzani kila mara.................. Nothing creative and promising comes out of CCM..........
 
Wadau kutokana na tunachokiona ,leo serikali imejitokeza na kutuma ujumbe mkubwa ukiwahusisha mawaziri,mwanasheria mkuu wa serikali pamoia na makada waandamizi wa ccm kwenda kwenye vituo vya luninga nchini kuitetea rasimu ya katiba iliyokataliwa na wananchi.
*JE NI DALILI ZA SERIKALI YA CCM KUINGIWA HOFU NA TANGAZO LA AZMA YA CHADEMA KUITISHA MAANDAMANO YA NCHI NZIMA KUPINGA MUSWADA HUO???.

Tulitegemea Mwanasheria mkuu awe wa kwanza kuupinga huu msada hata kabla haujaletwa kwa watu. Ila kwa njaa zake na kutothatmini taaluma yake anatetea hii kitu isyokuwa hata na uhalali wa kimamtiki. Werema anapaswa kujua anaidhalilisha taaluma yake na anatutukana matusi wananchi kwa sababu anadhani hatuoni huo uozo wa muswada. Wanadhani everybody ni bogus. WEREMA NA WENZAKO TUNAOMBA MJIHESHIMU. WE ARE NOW SICK AND TIRED OF THESE MALICIES
 
Na badoooo
watauma sana meno na kubana p**** mpaka ziwake moto!hilo dubwasha hatulitaki hata kuliona nini kulisikia!
hata wamtume JK hatukubaliiiiii.

mkuu hizi si tunazibana wakati wa penalt tu? kumbe hadi huku
 
maandamano yako pale pale: Hatujui wanabadilisha nini; the dog must bow; so kesho kama kawaida na wananchi wajue sasa wameshinda rasmi katika vita hiyo
 
Haisadii kitu kwani huo mswada umejaa utumbo mtupu na hata mwanasheria ameonekana ni bogus la kutupwa, nadhani haitakuja kutokea mwanasheria mchumia tumbo kama Werema. Ametoka kabisa kwenye professionalism na kuadopt ujinga mtupu. Nchi hii,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom