Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,898
Watanzania kwa kuponda mambo ya wenzao hawajambo. Walilidharau sana KIA, nimeshangaa Kia ilivyoibukia Marekani na sasa wana kiwanda huko huko Marekani na inauzika kusninda magari yenye majina.
Hizo Swhift mnazozibeza sasa zipo katika harakati za kuwa na soko kubwa nchini Marekani, soon itakuwa sokoni kwa vile imeshapata kibali kutoka wadhamini na idara ya uhakiki ubora wa kiwango imekubali ni gari inayofaa nchini Marekani.
Wenzetu walioendelea magari wanaayachamgamkia ndio hayo, nitakuletea mifano michache hapa chini na bado utashangaa kuliko unavyolibeza Swift.