Je, gari Suzuki Swift ni inafaa Tanzania?

Njele

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
275
121
262735_a.jpeg

Naomba kuuliza wanajamii forums je gari hii inafaa kwa mazingira ya Tanzania? Ninachovutiwa ni kuwa na matumizi kidogo ya mafuta. Na pia Suzuki zinaonekana kustahimili misukosuko ya barabara zetu, ila sina uzoefu na Swift, ila nimezifahamu Samurai na Vitara. Wengine tunapenda tu gari ambayo inanisidia based kwamba sitarajii kuwa na matumizi makubwa kwa vile nasafiri nje mara kwa mara.
 
Hiyo wala usihofu kaka ila kidogo spare parts zake bei ya juu, naamini hilo haliwezi kukusumbua sana.
we chukua huo mzigo.
 
Sasa kama ushajua hilo unataka tukushauri nini? Nunua hayo makitu...!
 
Tatizo gear box ya SWIFT inakufa mapema sana. Pia spear zake ni expensive sana. Mbaya zaidi hazipo comfortable na hazina nguvu kwasababu CC zake ndogo

Umetoa comment inayofikirisha, nashukuru sana kuwa na tahadhari hiyo.
 
Hiyo wala usihofu kaka ila kidogo spare parts zake bei ya juu, naamini hilo haliwezi kukusumbua sana.
we chukua huo mzigo.

Nashukuru kwa ushauri, tatizo la bei juu ya parts nimeona hata kwenye magari ya Honda, na magari ya parts nafuu bei ya kununua gari ni juu.
 
Tatizo gear box ya SWIFT inakufa mapema sana. Pia spear zake ni expensive sana. Mbaya zaidi hazipo comfortable na hazina nguvu kwasababu CC zake ndogo
trans.png
trans.png

trans.png
1998.toyota.camry.10199-300x189.jpg
thumbnail.aspx

Nilikuwa sijajua kama gari hii ina matatizo ya transmission, nilichogundua kimoja na cc kuwa ndogo, maana nimegoogle na kuona gari dogo aina ya toyota camry ina CC kubwa kuliko hili Swift ambalo kwa umbo linaonekana gari kubwa kuliko toyata camry.
Toyota Camry cc 2162
Suzuki Swift cc 1300
Kwa matumizi ya kawaida ambayo ni ya mjini na kwenda vijijini mara chache si mbaya.
 
Lakini nayaona mengi tu yanatembea bongo, inaonekana yna soko hapa, labda kwa sababu ya bi chee. Wafanyabiashara wengi wanayo.
 
nunua tu ndugu, unaweza ukajikuta umeunda network na mafundi kwa kutumia hicho ki swift kuna mtu aliuziwa kakaleta uhasama na aliye uza , kanaunguza valve balaa na kagia box kama ka toyo au bajaj utataka uwapeleke wakwe kwao milimani ukauze sura , omba mungu huko kwa wakwe zako kuwe na mafuso wakipakie kukiludisha garage
 
Ha ha ha ha ha ha,hiyo kali,labda mkwe awe mbavu nene kama John Cenar akusaidie kulisukuma mpaka Dar!!!
 
Yanini uhangaike na hivyo vigari ambavyo unaingia navyo hadi sebuleni? Nunua OPA.

hehehehehhe ... labda kanatumia umeme mkuu sio mafuta... maana niliona vigari vya umeme maumbo yake madogo kama hiko kigari...
 
Back
Top Bottom