Je, engineering ina soko kwa Tanzania?

Mungu aliumba dunia ila engineers walipewa uwezo wa kuimodify... Soma tu engineering.. ila kama ndo unawaza mambo ya ajira soma afya... Competition ya ajira ipo ila ukipata.. watakuonea mbali sana... Pia it's interesting sanaaa.. utafurahi mwenyw.. una design ki2 na kinafanya kazi c hw interesting it is
 
Form 4 bado sana kijana!! Ila kuna huu msemo, "An Engineer can be anybody, and not anybody can be an Engineer". Kwa hiyo kama PCM inapanda wewe piga shule uko penyewe. Kuhusu ajira, Engineers wanahitajika kila kona ya dunia hii! Tanzania hadi sasa hawatoshi, mi nilipomaliza undergraduate, nilikaa miezi 2 bila kazi, baada ya hapo nikawa nachagua niende wapi niache wapi!! Kifupi kazi ziko nyingi, na haziishi leo wala hivi karibuni kwani duniani kote, wahandisi wahatoshi.

Utakapoona engineers wanakosa kazi, basi ujue tutaanza kupiga hatua mbele kubwa kwani watalazimika kuanza kuwa wabunifu zaidi na kujikuta nchi inatengeneza bidhaa nyingi za ndani badala ya kuimport kutoka china au nchi zingine.

man umepiga bsc ipi? mwaka upi?
 
Back
Top Bottom