Je, anayetumia ARVs kupunguza makali ya VVU akipimwa virusi vitaonekana?

Don Billionea

Senior Member
Jul 15, 2018
150
194
Habari wana JF.! Naomba kuuliza kuwa mtu anayetumia ARV inasemekana kuwa anauwezekano mdogo sana wa kumwambukiza HIV mtu ambaye ni negative kwakuwa akishaanza kumeza ARV virusi vinafubaa pia vinatoka ktk mfumo wa damu vinaenda kukaa sehemu moja yaani ktk tezi.
je' uyu mtu ukimpima kwa mara ingine anaweza kukutwa bado yuko Positive..?
 
Atakuwa bado + kwakuwa virus bado viko mwilini
 
Habari wana JF.! Naomba kuuliza kuwa mtu anayetumia ARV inasemekana kuwa anauwezekano mdogo sana wa kumwambukiza HIV mtu ambaye ni negative kwakuwa akishaanza kumeza ARV virusi vinafubaa pia vinatoka ktk mfumo wa damu vinaenda kukaa sehemu moja yaani ktk tezi.
je' uyu mtu ukimpima kwa mara ingine anaweza kukutwa bado yuko Positive..?
Mkuu nenda kapime tu,kisha kaa miezi mitatu ukapime tena.
 
Kuna mama tulikuwa nae clinic, mume wake alifariki 1993 yeye alidumu kwa ARV tena zile za 90’s. Baada ya watoto kuondoka nyumbani alikuwa mpweke. Ndugu zake walimshauri apangishe nyumba akakae kwao kijijini. Alipofika wakaanza kumuombea na kumwambia aache dawa. Baada ya mwaka ugonjwa ilikuwa umefikia AIDS level
 
Kuna research moja inayoendelea wale wenye undetectable walichomwa sindano hii ya kinga ya HIV na imepunguza sana virus kwenye reservoir wakachomwa tena T8 ika clear kabisa. Ni mwaka wa tatu huu wameacha ARV’s bado wana waangalia ikifika miaka mitano itakuwa break through
Ok it is a good progress. Lakini kwa sasa hivi pia kuna tiba ya Stem Cell ambayo inazalisha seli za kinga na kupandisha kiwango cha CD4 je wewe kama medical personnel umeisha wahi kuijua na kuitumia kwa mwathirika yeyote? WELCOME and try it, it is really amazing
 
inapatikanaje kwa Tanzania na gharama zake?
 
ukifatilia uzi wa jamaa mmoja hivi anajiita .DECEPTION yule jamaa aliongea mengi sana kuhusa HIV/AIDS humu JF nadhan huko alipo anabarikiwa sana.
Anasema HIV haisababishi UKIMWI na UKIMWI ni upungufu wa kinga mwilini unaoweza kuurekebisha kwa kula chakula bora,mazoezi,maji safi, hewa safi n.k. Anatuaminisha kwa fact kuwa Dawa za kupunguza makali ya virusi yani ARVs ndio chanzo kikubwa kinachosababisha UKIMWI na magonjwa mengi sana hadi kupelekea mtu kufa....Anaendelea laiti watu wangekuwa hawapimi HIV basi hakuna mtu angekufa kwa UKIMWI mana UKIMWI ni biashara ya dawa za ARVs
mtafute huyu jamaa mkuu...nakumbuka uzi ule uliwabariki sana watu, tangu 2013 uzi bado upo active hadi eo
 
Asante sana
 
inapatikanaje kwa Tanzania na gharama zake?

Inapatikana kwa samabazaji (mie mmojawapo) hata hapa Dar ipo, gharama inategemea; kama mtu akinunua tu kwa bei ya rejareja inaweza kwenda mpaka 1.8m, ila kuna namna anaweza kupata dose yote kwa hata chini ya 1m

KWA MAELEZO ZAIDI NJOO PM TU
 
Kama umetumia ARVs kwa muda mrefu ukipima virusi vinaweza visionekane .
Ila sio kwamba utakua umepona hapana
 
Back
Top Bottom