Je, anayetumia ARVs kupunguza makali ya VVU akipimwa virusi vitaonekana?

Habari wana JF.! Naomba kuuliza kuwa mtu anayetumia ARV inasemekana kuwa anauwezekano mdogo sana wa kumwambukiza HIV mtu ambaye ni negative kwakuwa akishaanza kumeza ARV virusi vinafubaa pia vinatoka ktk mfumo wa damu vinaenda kukaa sehemu moja yaani ktk tezi.
je' uyu mtu ukimpima kwa mara ingine anaweza kukutwa bado yuko Positive..?
Dahhh.....
Pole sana mkuu ndio Dunia ilivyo, hivyo hautokua wakwanza wala wamwisho.
Kikubwa zingatia Mazoezi, Kula vizuri na umrudie Mungu wako.
 
Kuna research moja inayoendelea wale wenye undetectable walichomwa sindano hii ya kinga ya HIV na imepunguza sana virus kwenye reservoir wakachomwa tena T8 ika clear kabisa. Ni mwaka wa tatu huu wameacha ARV’s bado wana waangalia ikifika miaka mitano itakuwa break through
Madame, naomba usiache kunitag wakimaliza research baada ya hiyo miaka mitano....
 
am not CTC person but in my experience tezi au mtoki inapovimba sehem 2 au zaidi within mwezi mmoja baada ya kufanya ngono with symptoms like fever, headache, flue that is hiv initial stage.
Mkuu, hauna ya kiswahili....
Maana huku tushachanganywa na HIV, mara AIDS stage..... Wewe tena umekuja na CTC, yaani ndio unaukoroga kabisaaaa mimi mkulima wa huku Ushirombo
 
Ok it is a good progress. Lakini kwa sasa hivi pia kuna tiba ya Stem Cell ambayo inazalisha seli za kinga na kupandisha kiwango cha CD4 je wewe kama medical personnel umeisha wahi kuijua na kuitumia kwa mwathirika yeyote? WELCOME and try it, it is really amazing
Mkuu, ebu tupe Darsa kuhusu hiyo Stem Cell kwaajili ya kupandisha kinga....
 
ukifatilia uzi wa jamaa mmoja hivi anajiita .DECEPTION yule jamaa aliongea mengi sana kuhusa HIV/AIDS humu JF nadhan huko alipo anabarikiwa sana.
Anasema HIV haisababishi UKIMWI na UKIMWI ni upungufu wa kinga mwilini unaoweza kuurekebisha kwa kula chakula bora,mazoezi,maji safi, hewa safi n.k. Anatuaminisha kwa fact kuwa Dawa za kupunguza makali ya virusi yani ARVs ndio chanzo kikubwa kinachosababisha UKIMWI na magonjwa mengi sana hadi kupelekea mtu kufa....Anaendelea laiti watu wangekuwa hawapimi HIV basi hakuna mtu angekufa kwa UKIMWI mana UKIMWI ni biashara ya dawa za ARVs
mtafute huyu jamaa mkuu...nakumbuka uzi ule uliwabariki sana watu, tangu 2013 uzi bado upo active hadi eo
Alifanya research ama aliongea tu kwakujenga hoja..!!??
Alafu unaposema "alibarikiwa sana", hiyo baraka alipatiwa na nani?
 
Inapatikana kwa samabazaji (mie mmojawapo) hata hapa Dar ipo, gharama inategemea; kama mtu akinunua tu kwa bei ya rejareja inaweza kwenda mpaka 1.8m, ila kuna namna anaweza kupata dose yote kwa hata chini ya 1m

KWA MAELEZO ZAIDI NJOO PM TU
Mkuu, ebu kwanza toa elimu ya hiyo Steam Cell, kabla haujawaita watu huko MP.
Na pia kama wewe ni muuzaji/msambazaji wa Steam Cell, hauoni kwamba mtu m-bishi kama mimi nitaamini kwamba unaijipigia promo ya bidhaa yako kwasababu tu watu tumekua na hofu ya hili gonjwa....!!??
 
Alifanya research ama aliongea tu kwakujenga hoja..!!??
Alafu unaposema "alibarikiwa sana", hiyo baraka alipatiwa na nani?
Yah, research alifanya mkuu nadhani pitia uzi zake zote utaona jinsi gan katumia sana fact mbalimbali kuelezea, na waliombariki ni wale walioelimishwa elimu hii na wengi sana walitoa ushuhuda kwa jinsi mambo mengi walivyoyaona ....fatilia uzi wake
 
kuna hawa jamaa wanazo hizo dawa ambazo ukila virus wanakuwa undetected kabisa. na Pia wana Dawa 99% zinazuia maambukizi kwa anaezitumia,Kwa sasa USA watu wanaandamana hili hawa jamaa Gilead Sciences - Wikipedia washushe Bei! Hawa jamaa pia inasemakana wana mpaka kinga ila wanafanya kuificha ili waendelee kuuza hizi dawa zingine.Kwenye dawa za ARV hawa wana just one Kidonge per Day na aina side efects kama hizi wanazowapa wagonjwa hapa kwetu 3 tab per day.
Mpaka sasa kwenye Dunia ya Utabibu wa Kisayansi ni Mtu mmoja tu ambae alikuwa na Ukimwi na Madaktari wakathibitisha kupona mpaka muda huu ni Timothy Ray Brown zaidi hingia hapa https://www.google.com/search?q=the...rome..69i57.8678j0j8&sourceid=chrome&ie=UTF-8
ila hawa Gilead Sciences - Wikipedia wapo vizuri katika madawa ya HIV AIDS.
last year wameruhusu INDIA,CHINA na South Africa kuzalisha hizi dawa na pia kwa sasa zinapatikana ata hapa TZ japo cjui bei zake
 
Tatizo huko kwenye uno kuna mengi zaidi ya VVU.....wee liendekeze tu utajiju
Mkuu, ebu naomba nione "mengi zaidi" kutoka kwako, alafu utanipa maelekezo jinsi ya kutumia mlonge kwa tiba ya umeme
 
Aiseee namm wacha nikazie hapo.

Mtu anayetumia ARVs Vizuri kabisaa maana yake anapunguza Viral load ..hii inamaana gani?? Kuna uwezekano mkubwa wa Mwathirika huyu kutest NEGATIVE ikiwa utampima kwa kutumia HIV Rapid Test !!! .

Lkn hiyo haimanishi hana HIV..ataendelea kua HIV jumlisha.

Sasa kuweni Makin pia.
 
Back
Top Bottom