theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,750
- 15,643
Na ukifikia stage ya AIDS (last stage of H.I.V) ndio basi tena maana immunity ndio zisha fail kabisa hata ukijaribu kuzi boost hakuna response tena......Yani milokole ni mijinga mungu ameshatupa maarifa mungu anatenda miujiza kwa mambo yaliyoshindikana ila si kwa magonjwa yanayojulikana
Yaani hapo ukivamiwa na magonjwa ya bacteria , fungus , protozoan , malignancy and other viral disease ndio basi tena parapanda inakuhusu Mkuu....