Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 38,004
- 87,971
Dahhh.....Habari wana JF.! Naomba kuuliza kuwa mtu anayetumia ARV inasemekana kuwa anauwezekano mdogo sana wa kumwambukiza HIV mtu ambaye ni negative kwakuwa akishaanza kumeza ARV virusi vinafubaa pia vinatoka ktk mfumo wa damu vinaenda kukaa sehemu moja yaani ktk tezi.
je' uyu mtu ukimpima kwa mara ingine anaweza kukutwa bado yuko Positive..?
Pole sana mkuu ndio Dunia ilivyo, hivyo hautokua wakwanza wala wamwisho.
Kikubwa zingatia Mazoezi, Kula vizuri na umrudie Mungu wako.