by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 215
Habari za kazi bandugu.naomba msaada wa kidaktari au ambae atakuwa na uelewa wa ili jambo.kama mwanaume alifunga kizazi zaid ya miaka 10 hiliyopita akikutana na mwanamke nje ya ndoa anaweza kumpa mimba kwa sasa hivi.asanteni