je anaweza kumpa mwanamke ujauzito?

Ndugu kwa hospitali zetu hizi unaweza kabisa kumpa mimba mwanamke hata kama ulifunga kizazi. nina mfano hai wa binamu yangu (mwanamke) baada ya kupata shida mimba ya mwisho na kuona ana watoto wa kumtosha aliamua kufunga kizazi wakamfanyia operation ili kumfunga. Hiyo akawa na uhakika hawezi kupata uja uzito. lakini cha kushangaza baada ya miezi sita akapata mimba. sasa hapo tukasema angekuwa mwanaume ndio amefunga angeikataa hiyo mimba lakini yeye hawezi maana ipo ndani ya tumbo lake. Hivyo kuna possibilities kubwa za kuendelea kuzaa na hii ni kutokana na utaalamu wa hospitali zetu.


Inategemea ni operation gani alifanyiwa! Iwe kwa mke/me kinatotakiwa ni kufanyikaa ndanii ya miezi kadhaa baada ya operation ni kuhakiki kuwa operation imekuwa/haijawa successful! Unaweza kata mirija au ikajiunga tena!
 
Back
Top Bottom