Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,462
- 29,163
Muziki wa Hip-Hop ya hapa kwetu na Bongo Flava kwa pamoja vina historia kidogo.
Inawezekana kabisa kuna baadhi ya waimbaji wa sasa ambao wamezaliwa wakaikuta Bongo Flava ishaanza.
Wapo wasanii wengi tu, wenye historia kubwa tu na huu Muziki ambao kwa namna moja au ingine wamechangia kutufikishia hapa tulipo.
Binafsi hua namkubali sana Juma Mohammed Mchopanga (Jay Mo) kama mojawapo ya waimbaji wazuri wa huu muziki.
Ila ki ukweli huyu Msanii pamoja na kujitahidi kutunga amekua ni kielelezo tosha cha wale wasanii ambao walifanikiwa kimuziki lakini sio kimaisha. Sababu kubwa ya kutofanikiwa kimuziki kupitia uimbaji kwa Msanii huyu ni kutokana na maslahi duni kutoka kwa ma-distrubutors na waandaaji wa matamasha mbalimbali. Distribuors wengi ni wadosi hivyo sihitaji kujua wanawajali vipi watanzania wa asili, but promoters tunawajua ni watanzania wenzetu hivyo inatia uchungu kutuona wakiwanyinya hawa wasanii akiwemo Jay Mo.
Mojawapo ya promoters hao ni Clouds enterainment ambayo binafsi siipendi.
Cha ajabu Jay Mo huyohuyo akijua kua kuna wanaharakati (za kimuziki) wanapinga unyonyaji huo, leo anakuja anajiunga na wanyonyaji hao against wanaharakati.
Jay Mo hakutakiwa kabisa kua hapo alipo kimaisha, lakini sijui kadanganywa na nini kukubali kujiunga na wanyonyaji hao (snitch).
Jay Mo kama kielelezo na kiwakilishi cha wasanii waliofanikiwa kimuziki lakini sio kimaisha umeniangusha sana mimi kama mshabiki wako, na ki ukweli haukutakiwa kabisa uwepo LEADERS siku ya Jumamosi, bali KIJITONYAMA kwa wanaharakati (Vinega).