Jay Mo ameniskitisha sana

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,423
29,084
Muziki wa Hip-Hop ya hapa kwetu na Bongo Flava kwa pamoja vina historia kidogo.
Inawezekana kabisa kuna baadhi ya waimbaji wa sasa ambao wamezaliwa wakaikuta Bongo Flava ishaanza.
Wapo wasanii wengi tu, wenye historia kubwa tu na huu Muziki ambao kwa namna moja au ingine wamechangia kutufikishia hapa tulipo.
Binafsi hua namkubali sana Juma Mohammed Mchopanga (Jay Mo) kama mojawapo ya waimbaji wazuri wa huu muziki.
Ila ki ukweli huyu Msanii pamoja na kujitahidi kutunga amekua ni kielelezo tosha cha wale wasanii ambao walifanikiwa kimuziki lakini sio kimaisha. Sababu kubwa ya kutofanikiwa kimuziki kupitia uimbaji kwa Msanii huyu ni kutokana na maslahi duni kutoka kwa ma-distrubutors na waandaaji wa matamasha mbalimbali. Distribuors wengi ni wadosi hivyo sihitaji kujua wanawajali vipi watanzania wa asili, but promoters tunawajua ni watanzania wenzetu hivyo inatia uchungu kutuona wakiwanyinya hawa wasanii akiwemo Jay Mo.
Mojawapo ya promoters hao ni Clouds enterainment ambayo binafsi siipendi.
Cha ajabu Jay Mo huyohuyo akijua kua kuna wanaharakati (za kimuziki) wanapinga unyonyaji huo, leo anakuja anajiunga na wanyonyaji hao against wanaharakati.
Jay Mo hakutakiwa kabisa kua hapo alipo kimaisha, lakini sijui kadanganywa na nini kukubali kujiunga na wanyonyaji hao (snitch).
Jay Mo kama kielelezo na kiwakilishi cha wasanii waliofanikiwa kimuziki lakini sio kimaisha umeniangusha sana mimi kama mshabiki wako, na ki ukweli haukutakiwa kabisa uwepo LEADERS siku ya Jumamosi, bali KIJITONYAMA kwa wanaharakati (Vinega).
 
Maumivu ya kichwa huanza polepole na badae yanagonga kama nyundo...lakini ukitumia asprin au klorokwin hupungua taraaaatibu!!!
 
Tatizo la hawa Wasanii wa Bongo ni Elimu, Shule hakuna vichwani mwao, kwao wao hawafanyi Muziki kama ajira(kazi), kwao wao wanafanya muziki ili wasukume maisha siku ziende mbele. kwao wao akijitokeza mtu yeyote akawapa Hela ya kula kwa siku basi watamthamini huyo kuliko hizo Harakati unazoongelea. Na Matajiri wa mjini kwa vile wanaujua udhaifu huo wa Wasanii wa Kibongo basi wanautumia kuwavuruga na kuwapotezea Dira. Ukiwa na Elimu, ukajitambua wewe ni nani, ukatambua upo hapa Duniani kufanya nini, ukatambua haki zako ni zipi......Hakuna ataethubutu kuharibu Dira yako.
So, mwambie Jay Mo aende shule.
 
Muziki wa Hip-Hop ya hapa kwetu na Bongo Flava kwa pamoja vina historia kidogo.
Inawezekana kabisa kuna baadhi ya waimbaji wa sasa ambao wamezaliwa wakaikuta Bongo Flava ishaanza.
Wapo wasanii wengi tu, wenye historia kubwa tu na huu Muziki ambao kwa namna moja au ingine wamechangia kutufikishia hapa tulipo.
Binafsi hua namkubali sana Juma Mohammed Mchopanga (Jay Mo) kama mojawapo ya waimbaji wazuri wa huu muziki.
Ila ki ukweli huyu Msanii pamoja na kujitahidi kutunga amekua ni kielelezo tosha cha wale wasanii ambao walifanikiwa kimuziki lakini sio kimaisha. Sababu kubwa ya kutofanikiwa kimuziki kupitia uimbaji kwa Msanii huyu ni kutokana na maslahi duni kutoka kwa ma-distrubutors na waandaaji wa matamasha mbalimbali. Distribuors wengi ni wadosi hivyo sihitaji kujua wanawajali vipi watanzania wa asili, but promoters tunawajua ni watanzania wenzetu hivyo inatia uchungu kutuona wakiwanyinya hawa wasanii akiwemo Jay Mo.
Mojawapo ya promoters hao ni Clouds enterainment ambayo binafsi siipendi.
Cha ajabu Jay Mo huyohuyo akijua kua kuna wanaharakati (za kimuziki) wanapinga unyonyaji huo, leo anakuja anajiunga na wanyonyaji hao against wanaharakati.
Jay Mo hakutakiwa kabisa kua hapo alipo kimaisha, lakini sijui kadanganywa na nini kukubali kujiunga na wanyonyaji hao (snitch).
Jay Mo kama kielelezo na kiwakilishi cha wasanii waliofanikiwa kimuziki lakini sio kimaisha umeniangusha sana mimi kama mshabiki wako, na ki ukweli haukutakiwa kabisa uwepo LEADERS siku ya Jumamosi, bali KIJITONYAMA kwa wanaharakati (Vinega).

Kiongozi umeongea kwa uchungu sana,na mimi personally na-feel machungu ya hawa vijana wenzetu wanaojua kabisa mwanzo wa hii industry yao na wanadhulumiwa kwa kiasi gani...ukichukulia kwa context pana kabisa.ni sector zote wananchi tunanyanyasika...it is wake up call to all of us.....Jay-Mo ameniudhunisha mimi binafsi na kwa MC wa calibre yake hakutakiwa aonyeshe mfano mbovu kiasi hicho...woote walio-side na clouds wanajua kabisa historia itawahukumu siku moja na wanachokifanya kitawarudi very soon,wanachofanya ni ufahari wa siku moja hawajui leo na kesho wao kama wasanii watakua wapi...binafsi yangu,nina-feel sana machungu ya hawa vijana,na ninawaelewa vizuri kabisa wanachokipigania.....

Jay-Mo na vilaza wengine kama Sele na kuku wengine wanakwepa jukumu hili zito la kujenga historia ya nchi na industry yao....wanaangalia njaa ya kupata 100,000 leo!ni aibu isio na mfano,shame on y'all 15minutes-of-fame plastic rappers!
 
Umewahi kusikia njaaa????
Personally cwalaumu hawa wasanii ingawa ni kweli wamekosea na hawawatendei haki wasanii wenzao walioanzisha harakati, NJAA NOMA ucombe ikukute
 
naskia anataka kutoa track mpya so kahaidiwa itashka namba kwa wiki 4 mfululzo.
 
  • Report/Mark as Spam[h=6]Joseph Mbilinyi
    ‎...naona kampeni yetu ya kuhakikisha wasanii wanatambulika na kuthaminiwa inafanikiwa kwa kasi...yes tunafanya wapewe kazi tena baada ya kutupwa na kudharauliwa kwa miaka yote na hao hao CLOUDS FM..ni tumaini langu sasa kwamba kwa kuwa wanatumika kuokoa jahazi linalozama,basi watakuwa na ujasiri wa kudai malipo mazuri kwa mara ya kwanza...[/h]

Hawa kina Jay Mo sijui wakoje ila wamshukuru Sugu amewafanya hata hiyo kuitwa sasa, Kweli Sugu ni Jembe na nimeamini hao Clouds wameanza kushika Adabu:juggle:
 
pesa kweli haramu Afande anamkataa swahiba wake Sugu aliyemwonesha njia mpaka akatwaa taji la mfalme rhymes leo hii anamwombea njaa....!
 
Kila la kheri Jay Mo mchopanga. We lenga maslahi, usikubali kuambukizwa bifu. Kama sugu hapatani na Ruge, kimpango wake. We piga kazi man.
 
pesa kweli haramu Afande anamkataa swahiba wake Sugu aliyemwonesha njia mpaka akatwaa taji la mfalme rhymes leo hii anamwombea njaa....!

inaniuma saana. siku ya shindano la mfalme wa rhymes sugu ndo aliyekuwa anampa saport hadi kumbeba mabegani. angalia video ya DARUBINI KALI utamuona SUGU akimbeba AFANDE SELE. Lakini leo anamgeuka. Kweli sanaa ya bongo yataka moyo. Mwenye access atubandikie hapa video ya DARUBINI KALI watu waone. SUGU alikuwa anamtetea hadi anataka kulia.mia
 
Kiongozi umeongea kwa uchungu sana,na mimi personally na-feel machungu ya hawa vijana wenzetu wanaojua kabisa mwanzo wa hii industry yao na wanadhulumiwa kwa kiasi gani...ukichukulia kwa context pana kabisa.ni sector zote wananchi tunanyanyasika...it is wake up call to all of us.....Jay-Mo ameniudhunisha mimi binafsi na kwa MC wa calibre yake hakutakiwa aonyeshe mfano mbovu kiasi hicho...woote walio-side na clouds wanajua kabisa historia itawahukumu siku moja na wanachokifanya kitawarudi very soon,wanachofanya ni ufahari wa siku moja hawajui leo na kesho wao kama wasanii watakua wapi...binafsi yangu,nina-feel sana machungu ya hawa vijana,na ninawaelewa vizuri kabisa wanachokipigania.....

Jay-Mo na vilaza wengine kama Sele na kuku wengine wanakwepa jukumu hili zito la kujenga historia ya nchi na industry yao....wanaangalia njaa ya kupata 100,000 leo!ni aibu isio na mfano,shame on y'all 15minutes-of-fame plastic rappers!

Hawajaribu kuangalia uzeeni wakati hawana nguvu ya kusaka watakuwa kwenye hali gani? Afu clause hao hao ndo watakuja kuwasema kwa kujua kutumia tu bila kusave. Ndo maana waswahili husema maskini akipata ****** hulia mbata. Waache kuwa na akili za kuku wakishiba leo hawafikirii kesho
 
msiwalau sana wanamuziki wetu kwani mwanamuziki yeye kama yy ni ngumu kusimamama peke yake kupigania maslahi yake kwa mfano promoter anaweza kusain ideal na mwanamuzk akamlipa 2million lakini jamaa akaingiza 30million, kutokana na uelewa mdogo wa mwanamuzk na pengine hajawahi kupata kiasi cha pesa kama hicho akaona ni nyingi kumbe mwenzake ametengeza mara 15 yake. Dunia zima watu waoitwa mapromoter ni wanyonyaji sema wenzetu wa mamtoni wanakuwa na maneja na wanasheria wanaowasadia kuingia mikataba.
 
Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom