Hapo mbaya wako ni imani maana inamruhusu hivyo okoka na Yesu atakutendea maajabu
Dini au sio dini; sikiliza moyo wako. Kama unaweza kushare mume wako na mtu mwingine go ahead; kama unaona ni ngumu, mwambie na umuombe talaka!
Sioni faida ya kuishi the rest of ur life ukisononeka, lkn ukiona unaweza handle that ni wewe!
Ahsante kwa ushauri wako ntajitahid kuvuta subra lakini sijui kama ntaweza kukaa yani natamani ningeweza kueleza yote lakini siweziKwanza pole sana lakini ndio hali ya kidunia. Naamini wewe ni muisilamu issue ya life yako na mumeo ni tunu lakini mkweo ndio ameshaingilia kati yenu. Kisharia huyo mkweo lau angesema utalikiwe la sivyo mumeo hana radhi zake basi angefanya hivyo na dhambi zote zitamuendea huyo mkwe.
Issue kuwa mumeo ataowa halafu asiduu kitu nina uhakika halipo hapo ningekuwa naamini kuroga ningesema labda asiweze kuduu zaidi yako lakini hakuna hicho. Pia lau anataka aoe alafu amdhalilishe binti ya watu c halali pia. Pamoja na hayo mkweo atasimamia kidete amduu huyo mke mwengine under any circumstances na iwapo hatofanya ndio hatorudi huko mulipo.
Suluhisho ni nyie wawili kukaa mujadiliane kwa undani mumeo aone jinsi ya kutatua hilo. Mkweo ni hasidi na nyoka mbaya. Pamoja na yote hayo musigombane na mumeo kama itabidi aoe na mkewe abaki huku afrika kwani maisha ya uke wenza tena nchi za huko atakuwa mtumwa.
Nasaha yangu usitamke akuwache (talaka) maana utakuwa unapinga sharia halali ya Mungu.
Ahsante sana kwa ushauri wako.
Asante kwa ushauri wako, kitu nilicho mwambia bila kumficha mie mke wa pili sikai japo kua nampenda lakini kwa hilo ntashindwakwanza pole sana,halafu jifunze wanaume sio watu wa kuwasaidia,wengi wetu ni washenzi,tukipata hela tunatafuta wa kutumia nao,sio wale tuliochuma nao,cha kufanya sikiliza moyo wako,kama hautaki uke wenza kataa kwa nguvu zote,na ikibidi kujiondoa kwenye ndoa ondoka tu,maana kwa mtazamo wangu ni heri ukatae uke wenza kuliko kukubali kwa shingo upande halafu ukae ukisononeka kila siku dhambi yake ni kubwa sana,kama unajiona huwezi kabisa mwache aoe halafu mdelete kabisa,na umweke wazi why unamdelete,huyo atajuta maisha yake yote,kwan huyu ndugu yake anamtaka sababu anakitu,amini nakwambia kitu alichonacho si kitu kwani hatodumu nacho,endelea na maisha yako na ALLAH atakusitiru.
kabisa umemshaurii vizurii, kama unaona huwezii chukua kumi zako dada, mumeo ni betrayal kbs..... endelea kumwambia msimamo wako akilazimisha wako huna haja ya kuishi kwa masikitiko maisha yako yoote kisa??? ambaa zako mwaya!Dini au sio dini; sikiliza moyo wako. Kama unaweza kushare mume wako na mtu mwingine go ahead; kama unaona ni ngumu, mwambie na umuombe talaka!
Sioni faida ya kuishi the rest of ur life ukisononeka, lkn ukiona unaweza handle that ni wewe!
Nirahisi sana kusema sababu huelewi nini kinaendelea,na vilevile sijakataa asioe anayo haki yakuoa mpaka 4 ila mie ndio sikai maradhi haya yaloingia na dunia naiwe basi.Usimsikilize huyo, wacha mumeo aoe, tena wewe ndio umatayarishie harusi, alkhasir na umpokee mwenzako. Usiwe na roho butu.
Halfu usimsingizie mkweo, hizo ni stori tu alizokupa mumeo ili aku convine, wewe ukitaka usitake, mwenzio ataoa. kwa hiyo kubali yaishe, kama kamanda mbowe alivyofanya juzi bungeni.
Ww tatizo lako ni imani, mawazo yako yameganda kwenye kuokoka tu!Hapo mbaya wako ni imani maana inamruhusu hivyo okoka na Yesu atakutendea maajabu
Maelezo yako yanasikitisha, kama yote uliyoeleza ni ya kweli. Lakini uamuzi unaotaka kuuchukuwa unasikitisha zaidi. Wahenga walisema 'hasira ni hasara'. Kwa kuwa kadhia yako hii ni ya kidini, nakushauri uwaone viongozi wako dini, hasa kama kuna Kadhi na kama hakuna basi muone Sheikh, ili wakupe nasaha na ufafanuzi wa kisheria, kwa sababu nijuavyo mimi, mama hana mamlaka 'kidini' kumlazimisha mwanae kuoa mke fulani. Hili linabaki ni hiari ya mme kuoa au kutokuoa, na mwanamke kuolewa na amtakaye na si vinginevyo. Ndio maana siku ya kufunga ndoa anaulizwa muoaji na muolewaji tu. Hakuna mahali anaulizwa mama.Nirahisi sana kusema sababu huelewi nini kinaendelea,na vilevile sijakataa asioe anayo haki yakuoa mpaka 4 ila mie ndio sikai maradhi haya yaloingia na dunia naiwe basi.
Nimekuelewa sana,kwa mawazo yangu ambayo najitahidi nisifikirie huko nadhani walikua hawanipendi walikua wananitumia,na mama yake huyu bwana anamwambia mwanawe kua mie nafuja mali kwa mali gani huyo mtoto wao alokujanazo? hawakuona nafuja mali wakati nikiwapa wao.. huyu mama amebadilika roho baada ya kuja huku tunakoishi,hajui kama mwanawe ataondoka na nguo zake tuu namuonea huruma sana huyu mama lakini haya inshallah kheir.Maelezo yako yanasikitisha, kama yote uliyoeleza ni ya kweli. Lakini uamuzi unaotaka kuuchukuwa unasikitisha zaidi. Wahenga walisema 'hasira ni hasara'. Kwa kuwa kadhia yako hii ni ya kidini, nakushauri uwaone viongozi wako dini, hasa kama kuna Kadhi na kama hakuna basi muone Sheikh, ili wakupe nasaha na ufafanuzi wa kisheria, kwa sababu nijuavyo mimi, mama hana mamlaka 'kidini' kumlazimisha mwanae kuoa mke fulani. Hili linabaki ni hiari ya mme kuoa au kutokuoa, na mwanamke kuolewa na amtakaye na si vinginevyo. Ndio maana siku ya kufunga ndoa anaulizwa muoaji na muolewaji tu. Hakuna mahali
anaulizwa mama.