January, Zitto live TBC1 wakizungumzia hoja binafsi

Ground Zero

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
342
95
Wabunge vijana January na Zitto wako TBC wakifafanua hoja binafsi walizowasilisha bungeni
 
January amewasilisha hoja mbili; ya kwanza ni ya kuitaka serikali ilete muswada utakaodhibiti masuala ya upngaji na hoja ya pili kuhusu sheria itakayolinda watumiaji wa fedha. Kwa upande wa Zitto amewasilisha hoja kuhusu uwekezaji wa zao la mkonge
 
Habari za kutoka ndani ya CCM zinasema J. Makamba na Zitto Kabwe wametwa na kutishiwa kuachana na misimamo yao ya kutaa posho ya vikao vya wabunge. Habari zinasema wameambiwa wanafanya mchezo huo wa kuigiza kwa kuwa wao hawahitaji fedha hizo kutokana na uwezo wa kifedha walionao kutokana na vitega uchumi walivyo navyo. Mtoa habari alisema wakiendelea na usanii huo mambo yao yanaweza kuwekwa hadharani.
 
ccm wanahusikaje na zitto??ccm wana uwezo gani wa kumtisha zitto??anawajibikaje kwao??
 
Habari za kutoka ndani ya CCM zinasema J. Makamba na Zitto Kabwe wametwa na kutishiwa kuachana na misimamo yao ya kutaa posho ya vikao vya wabunge. Habari zinasema wameambiwa wanafanya mchezo huo wa kuigiza kwa kuwa wao hawahitaji fedha hizo kutokana na uwezo wa kifedha walionao kutokana na vitega uchumi walivyo navyo. Mtoa habari alisema wakiendelea na usanii huo mambo yao yanaweza kuwekwa hadharani.

Just what does it mean kwamba CCM wata disclose vitega uchumi walivyonavyo hawa vijana kama hawa vijana wasipo support posho?
This is pure blackmailing hawa vijana.
Secondly, kama CCM wana taarifa za illegal vitega uchumi vya hawa vijana, kwanini wasiviseme tuu regardless ya #kataaposho? Au ndio kulindana hadi pale wanapogeukana?
 
Habari za kutoka ndani ya CCM zinasema J. Makamba na Zitto Kabwe wametwa na kutishiwa kuachana na misimamo yao ya kutaa posho ya vikao vya wabunge. Habari zinasema wameambiwa wanafanya mchezo huo wa kuigiza kwa kuwa wao hawahitaji fedha hizo kutokana na uwezo wa kifedha walionao kutokana na vitega uchumi walivyo navyo. Mtoa habari alisema wakiendelea na usanii huo mambo yao yanaweza kuwekwa hadharani.

Zitto na January wako vyama tofauti waliitwa na nani?
 
Mh Zitto Kabwe amewadanganya vijana wa kitanzania,baada ya kuwaahidi kuwa atapeleka bungeni hoja binafsi kuhusu tatizo la ajira kwa vijana ambalo limekuwa ni disaster kwa sasa..badala yake amesikika akipeleka hoja binafsi ya mambo ya kilimo cha mkonge na kupuuzia ile hoja ya ajira kwa vijana aliyowahaidi kupitia chombo kimoja cha redio hapa Tanzania..

Namuomba Zitto na wanasiasa wengine vijana msiwatumie vijana wenzenu kwa maslahi yenu binafsi,kama mmeshindwa kuwapigania basi waacheni waendelee ku-hustle kimpango wao msijifanye mnaumizwa sana na matatizo yao ikifika suala la kuwawakilisha inakuwa usanii mtupu..vijana ni waelevu wanausoma tu mchezo.
 
Ama kweli CCM inajilisha sumu yenyewe, taratiiibu uhai wake unaondoka. Juzi wamegomea maslahi ya madaktari; leo wanapitisha nyongeza ya posho za wabunge.........

Mwisho wa siku, January na Zitto wanachokipata ni heshima kubwa mbele ya umma, which matters the most. Serikali au Bunge kuwaona vinginevyo, should not shake them at all. Kazi nzuri vijana.
 
Habari iko juu juu iko kama tetesi tu. kwa sasa kuna vikao vinaendelea dodoma mtu akiamua kutunga uongo wote tutaamini kwani macho na masikio yetu yako dodoma kwa sasa.
 
Kwani mkonge ukifufuliwa, ajira kiasi gani zitapatikana? Sio lazima apige kelele kusema ajira bila kuonesha ni vpi zitapatikana. Kama hoja hiyo itajadiliwa vizuri, hata reli inaweza kufufuka, hivyo ajira zitakuwa katika nafasi zifuatazo
1. Wafanyakazi wa reli
2. Wafanyakazi mashambani-wengi zaidi
3. Wafanyakazi viwandani
4. Wauza vyakula nao watauza, mashambani, reli, na viwandani. Tayari atakuwa amefanikisha kuwapatia watanzania/vijana ajira. Hajadanganya mkuu
 
Back
Top Bottom