Kwangu mimi January Makamba ndiye nayemuoa anajibu hoja na kuzipangua bila kuhamaki

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Sep 19, 2023
201
439
Binafsi kwenye suala la kupanga na kupangua hoja,kutopanic pamoja na kuwa smart kwenye brain, January Makamba huwa namuona ni mwanasiasa nambari wani kuliko wote katika nchi hii hata kina Zitto, Lissu wakasome.

Nachojiuliza watu wa namba hii huwa wanashindwaje kuhawilisha hayo maarifa kwenye utekelezaji halisi?Maana kwenye implementation katika wizaravya nishati kapata Grade F!

FB_IMG_1695580113647.jpg
 
Huyu jamaa kwenye utekelezaji Ni bure kabisaa, Watu wa Bumbuli wanamjua vizuri zaidi ya kundi lolote, yaani hivi anavyoonekana huku kwenye media hamna kitu, Wanajimbo wake ndio wanashuhudia kwa vitendo, kwa ufupi ni zaidi ya kile uwazacho, kwa ufupi ule upala upo mahala pake.
 
Huyu jamaa kwenye utekelezaji Ni bure kabisaa, Watu wa Bumbuli wanamjua vizuri zaidi ya kundi lolote, yaani hivi anavyoonekana huku kwenye media hamna kitu, Wanajimbo wake ndio wanashuhudia kwa vitendo.
Sijui tatizo lipo wapi au mfumo?
 
Binafsi kwenye suala la kupanga na kupangua hoja,kutopanic pamoja na kuwa smart kwenye brain,January Makamba huwa namuona ni mwanasiasa nambari wani kuliko wote katika nchi hii hata kina Zitto,Lissu wakasome.Nachojiuliza watu wa namba hii huwa wanashindwaje kuhawilisha hayo maarifa kwenye utekelezaji halisi?Maana kwenye implementation katika wizaravya nishati kapata Grade F!
Actions speak louder than words..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi kwenye suala la kupanga na kupangua hoja,kutopanic pamoja na kuwa smart kwenye brain, January Makamba huwa namuona ni mwanasiasa nambari wani kuliko wote katika nchi hii hata kina Zitto, Lissu wakasome.

Nachojiuliza watu wa namba hii huwa wanashindwaje kuhawilisha hayo maarifa kwenye utekelezaji halisi?Maana kwenye implementation katika wizaravya nishati kapata Grade F!

View attachment 2761140

Tatizo ni Upigaji deal ,ukiwa mpiga deal maarifa yote yanapotea.
 
Binafsi kwenye suala la kupanga na kupangua hoja,kutopanic pamoja na kuwa smart kwenye brain,January Makamba huwa namuona ni mwanasiasa nambari wani kuliko wote katika nchi hii hata kina Zitto,Lissu wakasome.Nachojiuliza watu wa namba hii huwa wanashindwaje kuhawilisha hayo maarifa kwenye utekelezaji halisi?Maana kwenye implementation katika wizaravya nishati kapata Grade F!
Wewe ndio unaanguka kwenye ulaghai wake. Ni watu wa maneno tu lakini ni wabinafsi wenye tamaa ya kujitajirisha wala hawana maarifa. Anashindwa kua mwizi na ku deliver wakati mmoja. Hawezi kupima aibe kiasi gani bila kuharibu kazi. Umeona kupata tu uwaziri kamleta dada yake tanesco kumpa michongo isiyokua na tija yoyote kwa kampuni. Eti media na utoaji habari yote kumjenga yeye na maharage kwa misifa ya uongo. Alipoingia tu waziri alitoa kandarasi kwa kampuni huduma ya taarifa ya kihindi eti kutoa huduma ya taarifa kwa management kitu ambacho kuna watanzania wangeweza kufanya kwa bei ndogo tu.
Ni madudu matupu yeye na maharage wamefanya tanesco kisha wanatuambia eti hata bwawa la nyerere likikamilika wasingeshusha bei ya umeme kufuatana na wasia wa magufuli utadhani faida ya hilo bwawa ni wao kupiga mapata ya tanesco tu.
 
Binafsi kwenye suala la kupanga na kupangua hoja,kutopanic pamoja na kuwa smart kwenye brain, January Makamba huwa namuona ni mwanasiasa nambari wani kuliko wote katika nchi hii hata kina Zitto, Lissu wakasome.

Nachojiuliza watu wa namba hii huwa wanashindwaje kuhawilisha hayo maarifa kwenye utekelezaji halisi?Maana kwenye implementation katika wizaravya nishati kapata Grade F!

View attachment 2761140
Hata Mkurugenzi wa TPA yuko vizuri kwenye kujibu hoja.
 
Binafsi kwenye suala la kupanga na kupangua hoja,kutopanic pamoja na kuwa smart kwenye brain, January Makamba huwa namuona ni mwanasiasa nambari wani kuliko wote katika nchi hii hata kina Zitto, Lissu wakasome.

Nachojiuliza watu wa namba hii huwa wanashindwaje kuhawilisha hayo maarifa kwenye utekelezaji halisi?Maana kwenye implementation katika wizaravya nishati kapata Grade F!

View attachment 2761140
Kampeni Bado plz
 
Back
Top Bottom