January Makamba: Rushwa imetembea uchaguzi wa EALA!

Saas

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
268
76
Ukweli halisi: Rushwa imetembea sana kwenye uchaguzi wa Wabunge wa EALA. Wabunge wa vyama VYOTE tunahusika. Aibu kwa taifa zima!

Maneno yake hayo on twitter
 
Ukweli halisi: Rushwa imetembea sana kwenye uchaguzi wa Wabunge wa EALA. Wabunge wa vyama VYOTE tunahusika. Aibu kwa taifa zima!

hongera kwa kukiri,
mbunge UNAH0NGWA?TENA NA WATU WASIO NA VYEO?
Inalillah wainaillah rajiuun!
 
Mambo gani ya kutuletea J. Makamba on twitter..................................

Kwanini asije hapa akaeleza what happen kuliku kwende kujificha huko twitter...tweet.....brah brah au wewe ndo makamba?
 
Naomba msaada kwenu Wanasheria. Mimi najua upande wa Murder cases tu kwamba kuna Mtuhumiwa anayeitwa Accessory of Murder. Je Upande huu wa Uhaini kama ilivyoletwa na January, hakuna Mtu anayeweza kushitakiwa kama Accessory of Crimes? Kama ni hivyo basi, kwa kuwaficha Wahalifu angali akiwafahamu, January nae anapaswa kuunganishwa kwenye kesi ya Uhalifu
 
Makamba siku hizi naye amekua kilza sana ashalewa sifa,"january alitumia cheo vibaya alipokua ikulu na sasa ni wakati ahojiwe na takukuru"(sugu)
 
Ukweli halisi: Rushwa imetembea sana kwenye uchaguzi wa Wabunge wa EALA. Wabunge wa vyama VYOTE tunahusika. Aibu kwa taifa zima!

Maneno yake hayo on twitter

hiyo inatupa pcha kwamba hatahuko kwenye kamati anapokea. basi aje hapa jamvini atueleze hayo
 
Kwanini kwenye Twitter, na isiwe TBC 1, huyu jamaa na yeye anapenda umaarufu rejareja, akiandika kwenye twitter babu zangu wa kule Ikungulyambeshi wanaijua hiyo twitter??
 
nasubiri jibu teh teh teheeee...:)
ahh na kingereza chake cha marekan TANDALE jana wakat anaomba kura dah...bdada anajua sana kuutumia UCHUMI WAKE wala haukaliiiii mwaya akhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ye anapaa tu kwa raha zake:car:

ukitaka kula lazima uliwe
 
Back
Top Bottom