January Makamba, Nape Nnauye, Mzee Kinana msishupaze shingo zenu; kubalini yaishe

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,398
3,907
Uovu ni roho ambayo huuongoza mwili wa mwanadamu na hii roho humtesa Sana mwanadamu mpaka aombewe au akutane na shetani kwenye mazingira ambayo itabidi akatubu na kuombewa na hatimaye roho mbaya huondoka Mara moja na kubaki mtu mwema

Malezi mabaya waliyopewa hawa vijana wawili Nape na Makamba wakiongozwa na wazee kama Kikwete na Kinana wamejiona wao ni mabilionea Sana, matajiri Sana, werevu Sana kumbe ni watu ambao mfumo ukibadilika hata Leo watarudi kwenye umasikini mkubwa kupindukia wa kupanda bodaboda.

Ukiwachunguza hawa vijana wawili, utagundua kubwa mission yao ni kumshoofisha Samia ili walete mtu wao ambaye atatawala miaka 10 mingine ili waendeleee kunyonya kwa Mirija.

Niwape siri nyie vijana: Mrudieni muumba wenu, vita mliyoianzisha hamuiwezi. Nchi inataka kurudi kwenye misingi yake. Itamvuruga kila mwenye kiburi anayelenga masilahi binafsi. Nawaatahadharisha tu kuwa 'your days are numbered' kama hamtabadilika. Kikwete wala Kinana hawatatetea. You are no longer special to outshine the system.
 
Hata kwa macho wanaonekana wana tamaa ya madaraka. Lakini numbers pia zinawakataa na nyakati zinawatupa mkono. Sio kwa sababu ya umri, bado wadogo kwa umri. Ni kutokana na mabadiliko ya kimfumo na namna unavyotaka nchi kwenda.

Na kimsingi Only Kundi la Wanamtandao liliwahi kujipanga kumweka Rais madarakani na wakafanikiwa. Project zingine zote za kumweka mtu madarakani au mtu mwenyewe kusaka urais haukuwahi kufanikiwa.

Someone cannot imagine now kwamba SSH ni P, PIM ni VP, TAM ni S na KMM ni PM. Nani angeweza kuwaza hivyo mwaka 2010,2013,2014? Only ten years ago.

Binadamu hunifunza kwa experience. Kwa experience hiyo basi Top 5 ya viongozi wa kisiasa nchi hii 5 to 10 yeras to come hawajulikani.
 
So Samia yeye hayajui hayo pamoja na kua kazungukwa na vyombo vya ulinzi vyote ,ila wewe unajua yanayoendelea?.

Anyway CCM ni wanatuingiza kwenye ngoma zao kwa njia mbali mbali na raia tunajaa mfumo. kulijua hilo angalia DAB alichoongea pale Airport halafu kesho utawakuta wanachekeana.
 
Nape hujiona na akili sana kumbe ukubwa wa mwili na kichwa chake haviendani kabisaa na akili yake maana akili ni kiduchuuuu, January ana akili nyingi sana tatizo lake ni KIBRI NA UKATILI yule jamaa ukimuona anacheka ujue macho Yako MABOVU
Lakini january tetesi zinasema aliwahi kuiba mitihani akafitiwa pepa.
 
Sio msoga ili tupone CCM Ife kwanza ndio tutapiga hatua vinginevyo tutaendelea kusindikiza wenzetu
Ebu toa pendekezo kwa uhalisia....
Chama kipi cha Upinzani halisi chenye viongozi thabiti wenye kubeba (vision) maono ya Tanzania mpya.
Kwenye orodha iliyopo ya vyama vya upinzani nchini?

Nonachokiona ni kwamba hakuna mpaka sasa!
Isipokuwa tunao wanasiasa individuals wenye nia thabiti,wakweli na wazalendo wenye maono ila hawana platform imara kuweza kuwabeba...

Mfano ni kama....

Adv. Mwabukusi.
Luhaga Mpina.
Dk Slaa.
Humphey Polepole.
Mh.Tabasamu.
Mbunge Mstaafu mzee Kessy.
Mh,Lukuvi.
Mh,Kabudi.
Mh,Ole Sendeka.
....na Makonda mweny.

Wapo weengi wa kariba hiyo ila wanatengwa kimfumo.ila kwa hawa wapinzani waliopo....
Ni wasakatonge wa maslahi binafsi.
 
Malezi mabaya waliyopewa hawa vijana wawili Nape na Makamba wakiongozwa na wazee kama Kikwete na kinana wamejiona wao ni mabilionea Sana, matajiri Sana, werevu Sana kumbe ni watu ambao mfumo ukibadilika hata Leo watarudi kwenye umasikini mkubwa kupindukia wa kupanda bodaboda
Usimsahau baba Mwamvita
 
Back
Top Bottom