January Makamba na blog yake

Status
Not open for further replies.
Ni kweli kairudisha lakini kama methali isemavyo njia ya mwongo fupi ameshindwa kubadili tarehe.Ile ya jana aliiposti tarehe 27.11.2008 na tarehe chini ya picha ya jana ilionyesha hivyo na ikaanza kujadiliwa.Baadaye leo kairudisha lakini uwongo wake kashindwa kuuficha inaonyesha imepostiwa tena leo tarehe 28.11.2008.

Alipoona mambo ya Moto Michuzi jana tarehe 27.11.2008 akaiondoa na comments za bloggers zote na kairudisha leo tarehe 28.11.2008 check hata hiyo tarehe ya post kwenye blog ya Michuzi.Akairudisha ili awafanye bloggers nanga ili watu waanze kuijadili upya baada ya kuiondoa ile post na comments zote za blogers za tarehe 27.11.2008 zilizojaa asiyoyataka mheshimiwa January ayaone.Akataka mechi ianze upya kwa kujaza tu wale waimba kwaya wanaomsifia mheshimiwa January Makamba ili mheshimiwa January ajisikie vizuri.

Kitendo alichofanya Michuzi kinazidi kuishusha hadhi blogu yake.Ajue kuwa bloggers wengi siyo akina yahe unaoweza kuwachezea kirahisi wasijue umewachezea.

Michuzi naye ni fisadi wa blogu.Ndio maana walio serious kujadili mambo walishamtoroka wengi.

ANYWAY NAAPA SITAENDA TENA KUTEMBELEA HIYO BLOGU YA MICHUZI WALA YA HUYO JANUARY MAANA WAO WANATAKA TU WAIMBAJI WA KUWAIMBIA NYIMBO ZA KUWATUKUZA SASA MIMI SIJAWAHI KUIMBA KWAYA WALA BENDI YOYOTE NA SITARAJII KUWA MWIMBA KWAYA au mpiga drum ZA KUMSIFIA MICHUZI AU JANUARY HATA SIKU MOJA.
Huyu Michuzi nae wa kuanza kususiwa hata ukiangalia wanaotembelea na kuweka comments kule ni watu wa upeo fulani wale serious walishakimbia.
But who is the hell January Makamba, to the extent of being discussed here?
Can some one tell me?
Nasikia ndio muandika zile pumba za muungwana anazozitoa kila mwezi
 
January ameleta vitu tofauti ingawa sijajua malengo yake na anafanya kwa faida ya nani.Jamiiforums nanyi mngebadirika, siku hizi mnaonekana kama watu wanaopoteza mwelekeo! mnapoteza mvuto!
 
Michuzi naye ni fisadi wa blogu.Ndio maana walio serious kujadili mambo walishamtoroka wengi.

ANYWAY NAAPA SITAENDA TENA KUTEMBELEA HIYO BLOGU YA MICHUZI WALA YA HUYO JANUARY MAANA WAO WANATAKA TU WAIMBAJI WA KUWAIMBIA NYIMBO ZA KUWATUKUZA SASA MIMI SIJAWAHI KUIMBA KWAYA WALA BENDI YOYOTE NA SITARAJII KUWA MWIMBA KWAYA au mpiga drum ZA KUMSIFIA MICHUZI AU JANUARY HATA SIKU MOJA.

Jamani Muhidini Issa Michuzi hana ajualo zaidi ya kushika Camera, anascandal ya kufoji vyeti vya Form Four .....umeisha msikia akifanya mahojiano......the guy is empty headed, ujanja wa mjini wamsaidia
 
Hee! kumbe kihiyo ujanja huu ndio GT anaosifia
 
wandugu,

..wananchi punguzeni kuwa too negative.

..kuna watu wameamua kuelekeza hasira na madukuduku yao dhidi ya Raisi Kikwete, na Makamba wa CCM, kwa huyu bwana mdogo. huo siyo uungwana hata kidogo.
 
Mkuu nadhani mimi na YoYo tumeshaelewana swadakta...ukisoma vizuri nimesema kublog ni kazi ya kujitolea na kwa hoja yako ndio nilifikiri tena sana kabla ya kuzungumza niliyoyaandika. The bottom line, we have common point to argue for why Makamba Jr anablog

Mkuu naona anablog anataka kuendeleza ufis%%%% zaidi.........
 
Jamani Muhidini Issa Michuzi hana ajualo zaidi ya kushika Camera, anascandal ya kufoji vyeti vya Form Four .....umeisha msikia akifanya mahojiano......the guy is empty headed, ujanja wa mjini wamsaidia

Ha ha ha ha.... mkuu leo nimecheka sana, nilikuwa sifahamu hilo la vyeti ila kwenye yale mahojiano anayofanya najua jamaa anavamia fani ya watu wengine pale.
 
nimejaribu kubofya profile yake,there is nothing,kwani huyu ni nani? too many blogs nowadays.one has to be picky

NANI HASA JANUARY MAKAMBA?
His biggest and most important qualification ni kuwa ni Mtoto wa Yusuf Makamba period. Sijaona eneo analoweza kuonekana anag'ara kupita vijana wengine wa Bongo. Penbgine, Ufuska!
 
Kama sikosei conflict of interests ndizo zilizopelekea hata Said Yaakub kuacha kublog. Inasemekana BBC walimjia juu (just a hear say I am sorry).
Mama taratibu una uhakika na unachokisema au ndo redio mbao....?
 
It looks like everyone has a blog these days. I have one too - a serious one! I intend to tap the best brains as contributors.
Sasa ndio nimeweza kuweka mbili na mbili nikapata nne.....Nilikuwa najiuliza kwa muda mrefu sana inakuwaje hotuba zile ziko ndivyo sivyo?? Kumbe mwandishi yuko mbioni kublogu.....tunayo Safari ndefu sana wananchi.....
 
Kama sikosei
conflict of interests ndizo zilizopelekea hata Said Yaakub kuacha kublog. Inasemekana BBC walimjia juu (just a hear say I am sorry). Sasa huyu sijui atakuwa anabreak news za Ikulu!?

Mama taratibu una uhakika na unachokisema au ndo redio mbao....?

Mwazange umeona lakini mwenzako anavyojua ku hedge unverified assertions ?

Visentensi viwili vifupi lakini kaweka layer tatu za air-tight protection against kuswalishwa veracity ya madai yake. Alichokisema kiko impregnably criticism proof.

Mama that was impressive, kama uliotea vile wakurupukaji watakuja tu. As if ulidai kwamba una uhakika. Sasa labda Mwazange akaki retract hicho ki quip cha "redio mbao."
 
Mmh anuani ya blogu ni taifaletu. Lugha ya taifa letu ni Kiswahili. Ila sijakiona kiswahili humo. Kwa mwendo huu tutafika kweli? Haya wazee wa ngeli kila la heri na kunyanyua diskozi!

Friday, November 28, 2008
Language in this Blog
Watu kadhaa wamenitumia email kuuliza kwanini natumia Kiingereza kuandika kwenye blog hii wakati "lugha ya taifa" ni Kiswahili. Concept ya "lugha ya taifa" tunaweza kuijadili hadi asubuhi. Kwa kifupi, hapa ni ruksa kutumia Kiswahili au Kiingereza. Binafsi napenda kutumia Kiingereza kwasababu nadhani Kiswahili nakifahamu chote ila Kiingereza ni lugha ngeni kwangu kwahiyo napenda kuifanyia mazoezi zaidi lugha hii ngeni. And the only way to acquire proficiency kwenye lugha ni kuitumia mara kwa mara.

And my sense ni kwamba mtu yoyote ambaye ameweza ku-navigate the web mpaka akafika kwenye blog hii certainly atakuwa anaelewe lugha ya Kiingereza.
Posted by January Makamba at 5:10 PM 2 comments

Hilo ndio jibu alolotoa katika swali kuhusu utumiaji wa Kiingereza....
 
Duh! haka kajamaa (Ka Makamba) kanapenda sana code mixing and code switching....lol
 
Friday, November 28, 2008
Language in this Blog
Watu kadhaa wamenitumia email kuuliza kwanini natumia Kiingereza kuandika kwenye blog hii wakati "lugha ya taifa" ni Kiswahili. Concept ya "lugha ya taifa" tunaweza kuijadili hadi asubuhi. Kwa kifupi, hapa ni ruksa kutumia Kiswahili au Kiingereza. Binafsi napenda kutumia Kiingereza kwasababu nadhani Kiswahili nakifahamu chote ila Kiingereza ni lugha ngeni kwangu kwahiyo napenda kuifanyia mazoezi zaidi lugha hii ngeni. And the only way to acquire proficiency kwenye lugha ni kuitumia mara kwa mara.

And my sense ni kwamba mtu yoyote ambaye ameweza ku-navigate the web mpaka akafika kwenye blog hii certainly atakuwa anaelewe lugha ya Kiingereza.
Posted by January Makamba at 5:10 PM 2 comments

Hilo ndio jibu alolotoa katika swali kuhusu utumiaji wa Kiingereza....

This guy needs to pay the Pundit some royalty, he lifted the argument verbatim!
 
Pia wadau tukae tufahamu kwamba sio wote wanaofungua website au blog ni zao hapana sio kweli wanaweza kutumia majina tu lakini hapo hapo anaweza kuwa ametumwa na mwenye jina kufanya hivyo sasa tusikae na kupoteza mda kuwambia kwamba anapoteza mda kukaa kwenye blog na mkifikiria kweli hicho kitu kinawezekana makamba akae kwenye blog aanze kuandika hivyo vitu???

Sio yeye bali kuna mtu kamtuma afanye hivyo

Naomba kuwasilisha!!!!

Na wasiwasi kama unajua MaKAMBA unayemzungumzia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom