January Makamba na blog yake

Status
Not open for further replies.

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
It looks like everyone has a blog these days. I have one too - a serious one! I intend to tap the best brains as contributors.
Maneno ya January makamba from Michuzi blog,

Code:
taifaletu.blogspot.com
ndio anuani yake.Lol!
 
It looks like everyone has a blog these days.
January, unafungua blog kwakuwa umeona kila mtu anayo? Hapa sitaki kuamini ndicho chanzo cha wewe na Mzee Diallo kuanzisha blog hiyo.

Anyway, good luck mkulu
 
January, unafungua blog kwakuwa umeona kila mtu anayo? Hapa sitaki kuamini ndicho chanzo cha wewe na Mzee Diallo kuanzisha blog hiyo.

Anyway, good luck mkulu
Inahuzunisha sana hivi huyu si ndio nani vile wa Raisi......yaani jamaa mpaka sasa hivi hajui umuhimu wa blog kaona kila mtu anayo nae kaamua kufungua.
 
Inahuzunisha sana hivi huyu si ndio nani vile wa Raisi......yaani jamaa mpaka sasa hivi hajui umuhimu wa blog kaona kila mtu anayo nae kaamua kufungua.

Teheeee teheee waswahili bwana, wana mambo, in that context blog anatakiwa awe nayo MTU MMOJA TU, tena yule aliyeanzisha, maana kuanzia wa pili na kuendelea wataonekana wameiga, mpaka mtu afungue kitu ina maana ameona maana yake. msinishangae mimi ni adui mkubwa wa January kwa masuala fulani fulani lakini sio kwa kila kitu afanyacho, hayo mambo mengine ni utawala binafsi.
 
Url yake ni
Code:
taifaletu.blogspot.com
jamaa naona ana hoja nzuri ameamua kutoka na hoja na chambuzi mbalimbali za kisiasa.
 
Anablog kwa sababu eti it seems everybody anablog siku hizi. Sasa kwa mwanzo huo unategemea nini hapo? hana mission, bendera fuata upepo.
 
Sijui nifute post yangu. Yo Yo na Invisible kama mlikuwa kwenye mawazo yangu. Yaani sikutaka hata kusoma nini kimeandikwa kabla sijapost dukuduku langu.
 
nimejaribu kubofya profile yake,there is nothing,kwani huyu ni nani? too many blogs nowadays.one has to be picky
 
January, unafungua blog kwakuwa umeona kila mtu anayo? Hapa sitaki kuamini ndicho chanzo cha wewe na Mzee Diallo kuanzisha blog hiyo.

Anyway, good luck mkulu
Inaitwaje hiyo jamani? naomba ili na mimi ni click

tehetehetehe hahahahah hwahwa hwa wha kwik kwi
 
January, unafungua blog kwakuwa umeona kila mtu anayo? Hapa sitaki kuamini ndicho chanzo cha wewe na Mzee Diallo kuanzisha blog hiyo.

Anyway, good luck mkulu

Katika welcome note yake kwenye hiyo blog yake January Makamba kaandika hivi

“There will be no those silly anonymous postings in this blog as we intend to elevate the level of discourse (both substantively and in tone). This is a place for serious knowledge-sharing”

Kwa ufupi blog yake ni mahali pa white color bloggers waliolimba tai kama yeye wenye majina yanayofahamika katika jamii na wenye nyumba zenye plot number na street name na P.O BOX numbers ambao waweza wajua wanakaa wapi.

Kwa sisi wengine tunaoishi porini ambao hatuna majina hata mashati hatuna na nyumba zetu hazina plot number kwa kuwa ni maeneo ambayo ni Unsurveyed areas yaliyosahaulika na serikali kwa huduma zote muhimu kuanzia mitaa,barabara,umeme,maji,posta,n.k inabidi tutafute mahali pengine pa kublog.

Anyway kila la heri January Makamba kwa kuanzisha blog.Ndiyo kukua kwa demokrasia.

Kuanzisha blog ni kitu kimoja na kupata white color bloggers wachangiaji wengi wenye akili na uwezo mkubwa wa kujadili ni kitu kingine kabisa.

Welcome to the world of bloggers.
 
Kijana anajitafutia umaarufu kwa kifupi!aingie ulingoni hapa tunaomwaga dataz bila uoga ili awe anachukua mawazo anampelekea Mzee Pale Ikulu,He wants to show initiative ambazo siye tumekwisha fanya hapa.

The way i know JF ndiyo kuna watu makini na wenye upeo mkubwa wa kimaendeleo kuliko sehemu yoyote ya mtandao .

Kwani Mwanakijiji akitumia jina la M. M MWanakijiji kuna kosa gani.??ina maana mawazo ya kila mtu yanaangalia anaishi wapi na anakaa wapi?hii ni tabia ya unafiki na ya kujisikia na amejifunza kutoka kwa baba yake!

Tuendelee kukata ishu tu wakulu,viblog vya kingereza tuwaachie kina January na watoto wa mafisadi ambo wamesomeshwa nje kwa pesa za kodi zatu ambazo wao wanzipata kwa Semina ambazo Mkulu Mwenzetu Pinda kazipinga

Nadhani tumpe Pinda mwaliko ili awe mwanachama wa hapa JF!

We dare talk openly.


 
Last edited:
Unajua tena mambo ya teknolojia,kuna vitu mtu anafanya ni kwasababu ya kuwa na mapenzi;hata hivyo ni njia nyingine ya kuwafikishia watu taarifa na kama vipi baada ya kusoma unaweza kuwa ruhusu nao watoe maoni/mitazamo yao.
Kama mtu unaweza kuwa nablog yako ni wazo zuri tu,binafsi ni yangu jubi.wordpress.com
 
Katika profile ya Waziri mstaafu A. Diallo, kwenye sehemu ya occupation kajaza "Chairman"!
 
Katika profile ya Waziri mstaafu A. Diallo, kwenye sehemu ya occupation, kajaza "Chairman"!
Leo atakuwa kapata visitors wengi... Mzee Diallo naye naona kaamua kuingia katika Blogs. Sasa vipi mzee Makamba?

Gembe, I will be back to you :)
 
Mmh anuani ya blogu ni taifaletu. Lugha ya taifa letu ni Kiswahili. Ila sijakiona kiswahili humo. Kwa mwendo huu tutafika kweli? Haya wazee wa ngeli kila la heri na kunyanyua diskozi!
 
Mmh anuani ya blogu ni taifaletu. Lugha ya taifa letu ni Kiswahili. Ila sijakiona kiswahili humo. Kwa mwendo huu tutafika kweli? Haya wazee wa ngeli kila la heri na kunyanyua diskozi!

Kuna taifa la watanzania masikini na taifa la watanzania matajiri ambao ni mafisadi.Inaelekea January ana taifa lao ambalo sio letu siye watanzania,sasa sijui lengo lake nla kuwa na blog ni nini hasa?

kama ni kwa ajili ya watanzania,Basi hata Lugha ingekuwa ni kiswahili,ila mkumbuke hawa ndiyo waisaidizi wa mzee wetu na mie sishangai sana coz hata hotuba huwa mnaziona wakulu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom