January Makamba akataa bahasha za milioni moja za "Lunch"

As long as there a dots, even a four year old can connect them. And your dots are illusional, in sense there is nothing to connect. JM hajaingia bungeni kwa nguvu ya Rostam, Bumbulians just needed change and they found somebody to inspire them .Mwamvita sit on VodaFone board in UK, which is a partner with Rostam. Rostam can't fire Mwamvita, koz he ain't her boss. Acheni kuamini tetesi 100 percent. You know some people have work ethics and a sense of doing right things, despite of their family background. Sorta like Luteni Makamba when he was running Dar.

Folks in here paranoid kama wamevuta bange chafu vile. I say we wait and see tuone kamati yake itafanya nini. I have a feeling most pessimists will be sold, because this is kid is genuinely working for waTanzania. Tuweni wakweli tu hapo atakapodeliver.
Mi Sina shaka ILA YETU MACHO....MWISHOWE ATAUMBUKA TU....nowdays dont think watu ni mbumbu kama zamani ....we have all records in documented way..
Mi akiweza kumaliza tatizo la umeme ningefurahi sana na ningemwona kama shujaa popote pale bila kujali katokea wapi wala kasaidiwa na nani!!!
ILA kinachonipa shaka ni historia yake so hizi mbio kama vile zina mwisho wake!!
 
Ndo maana sisomagi habari za kisiasa manake unaweza kufa kwa presha ukijua mambo ya nchi hii. Inakiwa na wachache wengine tunakufa maskini na TGSD....kweli bongo ina wenyewe.
 
Mnyonge munyonge lakini haki yake umpe, kufikia sasa mh.January Makamba kwa maoni yangu ni mbunge pekee aliyejipambanua kuwa na vipau mbele vinavyogusa mambo ya msingi kwa wakati tulio nao,kwa hilo nazidi kumpongeza. Pamoja na hayo hili suala la wajumbe wa kanati iliyopita kupewa lunchi ya shs1 milioni ni rushwa, TAKUKURU inapashwa ifuatilie suala hilo na wananchi tujulishwe.:msela:

Mnafiki mkubwa huyu! Hahitaji kupokea fedha hizo wakati analipwa mamilioni na RA ili aendelee kuibomoa nchi hii. Ndivyo wanavyoanzaga ili kutafuta political mileage na baadaye waaminiwe wapewe dhamana kubwa zaidi ili watumalize. Sidanganyiki!
 
Its funni.. January is thinking that the woman he wants to bed is Tanzania, date 2015, gia yakuingilia...mmh fix the umeme problem!! I will bet you anything that Juanuary will pressure the government na umeme utatatuliwa... (as it will anyway..its bound to) na atachukua CREDIT for it tayari 2015 ata U-PM anaweza lamba. Mgao unaudhi wazalendo wakitatuliwa hili... miguu ya Ikulu 2015 inajiachia shwaaaaa. JM ndani.

He wants power and not money per se. He will not mess up this opportunity. Plz Blv.
 
Mh. January Makamba naona wewe unaaakili nyingi sana ulizorithi kwa mama nafikiri sasa kwa mtindo huu nahisi kamati yako ina nia njema na watanzania na moto huu tafadhali usiuzime hadi kitakapoeleweka.
 
Mh. Ngeleja oyeee!!! bahasha unazitoa wapi au ndio mnatuchakachulia bili ilimtoe milungula
 
Hivi kuna haja ya kuwaona CCM mashujaa JM na kamati yake wakipunguza tatizo la mgao wa umeme hata kwa asilimia 80% by 2014???? CCM bado ni walewalee wakunyongaa mali zetu kwa ajili ya matumbo yao na watoto wao. Huyu Kijana anajaribu tuu kujijengaa kisiasa kwa masilahi yake na mgongoni wa CCM yaoo hiyoooo..lol..

Natambua JM atapewa support sana na Makinda na JK kuperform ili aonekanee kwa masilahii yao mbeleni..Si umeona hata Ngeleja ana adabu kwa JM!!!

Kamati za bunge zimekuwaa zikitumikaa sana na serikali kwa maana ya wizara, taasisi na mashirika kama sehemu ya wabunge walio wajumbee kugangaa njaa zao na huo ndio ugonjwaa na utamaduni wao CCM...

Kaanza na mkwara wa kuwaomba wajumbe wake wakatae bahasha ya lunch, ni jambo jema ila alikuwa anaitumia pia kama publicity kwake..kwamba ana ushawishi na anajali eti mali za umma. Na kuipa nguvu hoja Makinda naye kapiga marufuku posho mbili kwa WABUNGE!

LETS WAIT AND SEE..
 
Halafu hiyo bahasha ya lunch ya milioni moja wakipigiwa kelele huwabana waandishi ambao nao hupokea bahasha kati ya elfu 10 ama elfu 20 tu ambazo kwa lunch ama nauli zinalingana na hali halisi.
 
1. sasa anawaomba wasichukue au anawaamuru? Yeye kama mwenyekiti hawezi kuwakataza au kuzirudisha hizo hela? Mbona siasa bado nyingi?
Atoe tamko la kuwakataza...end of story. Na wakikataa je?

2. Ina maana Tanesco walikuwa wanawalipa wabunge katika trip za kwenda kuwakagua? Je na hizo kamati nyingine vipi?
Mbona naanza kukosa imani na wabunge wengine including Zitto na Slaa waliokuwa wakiongoza kamati!!


Acha urongo,ZK na Dr. Slaa hawajawahi kuongoza kamati ya nishati na madini. Waliwahi kuongoza kamati za mahesabu ya mashirika ya umma na ile ya serikali za mitaa.
 
Acha urongo,ZK na Dr. Slaa hawajawahi kuongoza kamati ya nishati na madini. Waliwahi kuongoza kamati za mahesabu ya mashirika ya umma na ile ya serikali za mitaa.

i never said kuwa waliongoza kamati ya nishati na madini. my worry is based na wao kuwa viongozi wa kamati na hiyo mishahara waliyokuwa wakipokea. And note further: sijasema walipokea mil 1. My concerned ni katika vitu tusivyojua. Wao walikuwa wanapokea kiasi gani:
1. ili kubinya ishu nyingine au;
2. kama 'lunch money' katika ziara
 
Ukimsifia January huenda hujaelewa siasa za Tanzania. Kama angekuwa kwenye timu ya ukombozi asingeingia kwenye kinyanganyiro cha kumtoa Shelukindo kwa pesa za Rostam. Kama mnahitaji ukombozi wa kweli acheni kughilibiwa, jitahidi kutofautisha kati ya mchele na pumba
Umenena, there we go...watu watulie kwanza na kusoma matukio yanapoanzia na hadi kufikia katikati (kama hapo kwa Januari kwa sasa akiwa mbunge),..inashangaza sana watu kurukia tu na kusifia..jamani umakini ni kitu kidogo sana lakin muhimu sana
 
huyu january analazimisha umaarufu au uwaziri. anataka JK amuone mchapa kazi ili apewe uwaziri. mbona anasahau mapma?

1. huyu january alinufaika na rushwa kwenye malaria nomore
2. wahindi walimpa 600millioni kwenye kampeni yake
3. amepokea rushwa sana akiwa ikulu, leo anakuwa mother theresa?
4. dada yake mwamvitta kapokea 30% kibao toka vodacom ambazo alitumia kwenye kampeni inakuwaje leo ni msafi?

january asituchezee akili zetu.......kwa sababu ameona hela ndogo ndo maana anatuzingua? Arudishe za malaria no more, za ikulu, za wahindi na za vodacom... hanari ndo hiyo

Watu humu JF kawaida kupinga kila kitu! Aliyetoa habari katupa link kama source, wewe umekuja na malaria no more, mwamvita etc etc, tupe link basi ya hizo source. Kwa alichokisema January Makamba na ile barua aliyomwandikia Ngeleja, ni uthibitisho tosha (so far) kuonyesha huyu kijana ana nia nzuri na taifa hili. Kasema hivyo halafu mnataka kutuaminisha otherwise??? Mbona mnataka kujifanya mnaweza kuingia kwenye bongo za watu mkajua wanachokifikiria???!!! Where is objectivity???!!! Kama alichokisema ni kizuri mpeni kudos anazostahili, then wenye roho mbaya mkae mkiomba aharibu ndo mkumbushie, lakini kwa kuanza kupinga mtu anayesema ukweli hatuendi kuzuri.

Hongera sana January Makamba. Siko akilini mwako kujua kama una agenda ya siri, ila kinachoonekana au kusikika kutoka kwako ni mfano mzuri sana wa kuigwa na wananchi.....
 
Its funni.. January is thinking that the woman he wants to bed is Tanzania, date 2015, gia yakuingilia...mmh fix the umeme problem!! I will bet you anything that Juanuary will pressure the government na umeme utatatuliwa... (as it will anyway..its bound to) na atachukua CREDIT for it tayari 2015 ata U-PM anaweza lamba. Mgao unaudhi wazalendo wakitatuliwa hili... miguu ya Ikulu 2015 inajiachia shwaaaaa. JM ndani.

He wants power and not money per se. He will not mess up this opportunity. Plz Blv.

Guys, this is politics, kama hatajiuza kwa wananchi kwa kufanya kazi basi yeye ni mpumbavu...na amechaguliwa (anyway, huyu alipita) ili akafanye kazi hii anayoifanya. Je yeye kama mbunge na kiongozi wa hiyo kamati,mnataka afanyeje??? Je mnamtaka akae kimya??? Au furaha yenu aharibu tu!!!
Tumchukulie Dr Slaa, ujasiri wake wa kuhoji na kupambana na uozo umempa kukubalika kwa wananchi...mbona hatuanzi kumtungia agenda zake za siri???!!!!
I believe CCM inaanguka, hizi sauti ndogo ndogo za akina January haziwezi kuzuia 98% ya wana CCM wenye nia ya kula nchi kama vile ni mali ya baba yao, ila penye ukweli tuseme ukweli....
 
Back
Top Bottom