U are obviously missing the point. Which I'm not surprised. The idea is wananchi kuwa na ear na mbunge wao at all times. Na mbunge kuwa in-tune na kero za wananchi wake on demand. I guess that is what uwakilishi is all about.
Now, regardless if you are Chadema or CCM--consensus should be this is a good idea. Obviously we don't know the detail of monies, but if I'm from Bumbuli, I'm getting the free service and that is all I want.
Tatizo la wabunge kupenda high-life ya Dar es Salaam kunawafanya wasipende kukaa majimboni kuona hali halisi za maisha ya wananchi wanaowawakilisha.....so hii ni excuse ya kusema nina mawasiliano na wananchi wangu hata nikiwa Dar es Salaam muda wote wa miaka 5 ya ubunge.
Kwa hiyo atatumia muda mwingi kukaa Dar es Salaam kwa sababu mawasiliano yapo na kufanya visits chache kuonekana kuwa yupo. I think for me hiyo ndiyo essence yake nothing more ....tusubiri miaka mitano tuone.