January makamba aanzisha SMS na wananchi wa Bumbuli

Hizi ni chuki tu na ushabiki wa kiitikadi. Huyu jamaa kaamua kuwekeza jimboni kwake na kuleta maendeleo lakini bado mnachonga tu. What more can he do?

The level of hypocrisy in this place is unbelievable. Au kwa sababu wabunge wenu mliowachagua wako busy kuandamana na kusaka cheap umaarufu instead of bringing about maendeleo?
selemani umesikika na pumba zako..................
 
Tatizo ni kwamba mbunge asipotoa anaonekana he aint doing anything na 2.5 billions zikitoka mnasema aint right pia, by the way hiyo inaitwa philanthrophy kama wewe unaona hilo ni tabaka jipya basi lina unafuu kuliko wale wanaokaa majukwani wanapiga kelele majimboni hawafanyi la maana charity starts at home na kama huyo mbunge katoa jimboni 2.5 billions theb what's wrong in that au ulitaka asijenge shule au ulitaka asichimbe visima....dude be realistic na angalia wangapi wanatoa back to society
 
sijajua kama free sms ni maendeleo, hii nchi niliyokuwepo nina free sms 250 kila mwezi, kuna mitandao mengine wanakupa 600 free sms kwa mwezi. kwasababu bongo wajinga ni wengi, kwahiyo viongozi wanajua wapi pa kuwaibia
 
Am sure ukiongea na hawa mobile phone providers wanaweza wakakupa Bundles za SMS kwa jumla kwahiyo utapata SMS kadhaa kwa bei nafuu, sio kwa normal price, nadhani he might have taken that route
 
Hizi ni chuki tu na ushabiki wa kiitikadi. Huyu jamaa kaamua kuwekeza jimboni kwake na kuleta maendeleo lakini bado mnachonga tu. What more can he do?

The level of hypocrisy in this place is unbelievable. Au kwa sababu wabunge wenu mliowachagua wako busy kuandamana na kusaka cheap umaarufu instead of bringing about maendeleo?

Hata haya huoni, yaani hizo sms ndo uwekezaji huo? Nadhani ana-encourage mimba kwa wana'viherehere' tu huyo
 
Halafu hiyo Bumbuli kwa tajiri Makamba, we acha tu.. .. Nilikatiza wakati fulani... unaangalia hali za wapiga kura wake mpaka unatoa mchozi.. haki ya nani unapata depression
 
sijajua kama free sms ni maendeleo, hii nchi niliyokuwepo nina free sms 250 kila mwezi, kuna mitandao mengine wanakupa 600 free sms kwa mwezi. kwasababu bongo wajinga ni wengi, kwahiyo viongozi wanajua wapi pa kuwaibia

Kwanza hao wananchi wanazo hizo mobile phones za kutuma sms?
 
selemani umesikika na pumba zako..................

Look. They way I look at it, wananchi wa bumbuli can SMS mbunge wao at any time for free--ya can't say the same kwa wananchi wa Mbeya mjini, Hai, Arusha mjini etc despite of wabunge wao kupiga kelele kwenye majukwaa non-stop.
 
Huu ni mpango mzuri sana; sasa asaidie ili wabunge wenzie wote waweze kupata hiyo deal aliyopata yeye. NIna uhakika kampuni iliyompatia nafasi hiyo haitasita kufanya hivyo kwa wabunge wengine unless ...
 
aache ujuha watu wa Bumbuli inajulikana wanachotaka! yaani maji, barabara, mbolea, vyoo bora, shule bora na hospitali! hiyo kutuma ujumbe wa bure ni kama kuwatukana maana hawana simu sembuse huo umeme wa kui-charge na kuifanya iwe hewani ukiachilia mbali hata mitandao sidhani kama iko mahali pote huko Bumbuli!
 
Look. They way I look at it, wananchi wa bumbuli can SMS mbunge wao at any time for free--ya can't say the same kwa wananchi wa Mbeya mjini, Hai, Arusha mjini etc despite of wabunge wao kupiga kelele kwenye majukwaa non-stop.

January, Selemani, or open roof, chill out man. Unajidhalilisha kaa mwamvitta kicheche. Jibu swali hela unatoa wapi. That is the question we want to know, where did you get all this money, being a regular civil servant? ama kweli mtoto wa fisadi ni fisadi. subirini baba zenu watoke madarakani
 
Utaambiwa SMS moja Tshs 150 lakini kwa mwananchi wa huko Bumbuli ambaye hajui gharama za simu na makato yake nawaonea huruma maana wakiisha subscribe kwenye hiyo huduma wataona habari yake SMS moja Tshs 150 ukizidisha mara watu laki moja halafu for 5 years ambapo atakuwa madarakani obviously atatoka na hela nzuri tu out of that SMS thing.

ARI ZAIDI, NGUVU ZAIDI, KASI ZAIDI
 
167117_152062674849701_100001379073127_259983_1679270_n.jpg

Now, this is the epitome of kuwakilisha wananchi!
 
Khe Khee Kheeee nani analipia hiyo Huduma ya Bure?? Think my friend think..........

U are obviously missing the point. Which I'm not surprised. The idea is wananchi kuwa na ear na mbunge wao at all times. Na mbunge kuwa in-tune na kero za wananchi wake on demand. I guess that is what uwakilishi is all about.

Now, regardless if you are Chadema or CCM--consensus should be this is a good idea. Obviously we don't know the detail of monies, but if I'm from Bumbuli, I'm getting the free service and that is all I want.
 
:clap2::clap2::clap2: Thanks my friend for the time being let it stay that way, continue enjoying the free service
 
Bottom line ni kuwa watu wa Bombuli shida yao kubea sio mawasiliano ya simu...mimi sikupata hata kuisikia hii katika ahadi zake wakat wa kampeni .watu hawana hata hela ya kula sembuse hela ya vocha?...yeye anataka kuitangaza Vodacom ambayo dada yake ni mdau...hebu waone hao wana Bumbuli wenyewe....

IVP_3405.jpg
 
Safari bora useme wewe maana nimesema mimi nikaambiwa i am missing a point
 
Back
Top Bottom