Janja Ya RA

Mimi siamini kama huyu ni mmiliki halali ya DOWANS!!huu ni usanii watanzania tunafanywa hatunazo!!wewe ulisikia wapi eti anatuonea huruma!!Hii nikutaka kupooza moto wawa bunge kuhusu DOWANS sasa ukitaka kujua tazama magazeti yanayomilikiwa na RA yalivyo jifanya kupamba story ya DOWANS ili watanzania wapotee!!Ukweli Dowans mmliki siye huyo mwanajeshi mstaafu huyo ni Boya!!

Point au kusudio lako ni nini? Awe huyo au sio huyo ndie mmiliki, awe Rostam Aziz au mwengine yeyote, tatizo ni nini?

Kwani kuna sheria inamzuia Adawi au Rostam kufanya biashara Tanzania?

Jee hiyo mitambo ikiletwa na kampuni gani? Dowans ndio jibu lake. Jee, Dowans walitimiza masharti ya mkataba au hawakutimiza? Jee dowans walilipwa kutokana na mkataba? Kama walilipwa ni kiasi gani? Jee mitambo iliyoletwa inakidhi mkataba au haikidhi?

Naomba majibu!
 
Nawashauri sisiem waliangalie vizuri hili jambo linawezekana likawacost mbele ya safari, kwani watanzania tumechoshwa na usanii huu wa kijinga

Usanii upi huo wakijinga? Si ueleze usanii uliofanywa? Kwani Dowans hawakuleta mitambo ya kufua umeme na badala yake walileta vioo kama walivyofanyiwa mabibi na mababu zetu?

Au sisi ndio tunataka kuwaletea usanii Dowans kwa kuwanyima haki yao kama mkataba utakavyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom