wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,187
Jana zimetokea ajali 2 za mabasi ambazo mimi kama Wakukurupuka1 ilibidi nikae kimya nione kma kuna media yoyote italeta hizi taarifa kwenu.
Hakuna media yoyote imeleta taarifa hizi na kwa taarifa yenu hizo fungia fungia zimeanza baada ya mimi wa kukurupuka kuwaumbua serikali
Twende kwenye ajali za Jana
Ajali ya kwanza basi moja linafanya safari zake kati ya tabora kwenda mbeya chuma imelala mazima ila sijapata taarifa kuhusu vifo
Taarifa ya pili ambayo ni mbaya ni ili basi linafnya safari zake kati ya Dar kwenda Iringa.
Ningetuma picha humu ila hakika ni ajali mbaya maiti kama 5 zimesagika kabisa..
Mamlaka ziliweka ulinzi ili kulinda sura ya iyo kampuni na hakuna kupika picha RTO na DTO walishirikiana kwa haraka kutoa ilo basi kwamba litachafua sifa za huo mkoa..
MY TAKE :::
Sababu kuu ya kuwapa taarifa hizi ni muone ajali za mabasi ni kila siku ila serikali inaficha mfano sijawai kuwapa habari ya basi la Phoenix Tanzania (hii basi ilipata ajali igunga na abiria sio chini ya 10 walikatwakatwa na vioo na mtoto mmoja kioo kilimchoma tumboni ila kwa ushenzi wa RTO waliambiwa waendelee na safari wakatibiwe mwanza)
Hizo habari ni za uhakika kabisa