Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

Y
Mtoa mada acha chenga umeulizwa 1. Nini source ya habari zako? Au ww ni mtunzj wa riwaya za kufikirika? 2. Swali la pili hao viumbe kiongozi wao nani? 3. Katika kutaja nimeona neno kerubi , je huyo si ndiyo bible inamtaja kuwa katika kitabu cha ezekiel kuwa alifukuzwa mbinguni na theluthi moja ya malaika wakatupwa duniani? Mea kuwa ktk makala zako umetumia maandiko ya biblia hii inamaanisha unaiamini mea toa ufafanuzi tuelewe . Hapo nikijibiwa ni bahati nadhani utakwepa . Ous kumbuka wakati shetani anatupwa duniani alimwambia Mungu kuwa atabadili majira na sheria na anaifanya kupitia silaha yake inayoitw uongo.Nadhani baada ya ww kusombwa na huo uongo anakusukuma kuusambaza kama unavyofanya
sasa

Roho zidanganyazo zipo kazin. Aliowamention hapo ni malaika walioasi na hao pamoja na majitu ambao ni uzao wa wana wa Mungu na binti za wanadamu. Hizo zote ni mamlaka tofautitofauti za giza na hazijahusika na uumbaji wa mwanadam bali nia yao ni kuangamiza humans. Kuna mama mmoja dolores cannon yy alikuwa anafanya past life regression and hypnosis ..amefanya kwa zaidi ya 30 yrs, ni techniques za channeling with past or future lives, sasa alikuwa anaongea nayo sana hayo madudu ( different entities). So according to her ni kwamba walikuwa wanampa hidden knowledge na kwamba they are good guys and that humans should embrace them coz they want to help people as the world will be shifting to the 5th dimension. Kwakweli kama huna background nzuri na ufahamu juu ya Mungu na nn kilitokea mbinguni before Adam and eve come to earth unaweza amini kabisa but they are lies. The saddest and good thing amefariki early this year, so mtu mwingine akafanya iyo hypnosis na kuchanel kwa huyo madam, you can Guess what happened after she died...anasema right after dying wakaja hao different demons wakawa wanamgombania kuondoa nae , right there akapata ufahamu kuwa baadhi of information walizokuwa wanampa sio za kweli na kwamba they desire and envies to have our bodies. Yy anasema hakukubali kuondoa nao so Sijui anaranda kwenye space or where. Hivyo wajamen hao reptiles Sijui grays ni fallen angels in the mission to deceive people. We were not created by them.
 
Mkuu tupia kapicha basi maana maelezo mengi sana wakati picha ndo ingefaa zaidi
 
Mambo mengine yahusuyo hii dunia mengi yametwaliwa kutoka msaafu Biblia na ndiyo maana mada nyingi zinazohusu uumbaji, binadamu na chanzo chake, sayansi nk mengi ni copy from bible.

@dist111 unaposema 'wazungu wanawapoteza kweli!'
Kuna wanajf hawakuelewi kwa nn umesema vile!.
Mojawapo ya jambo ambalo hawa wakoloni walifanikiwa ni kutuletea DINI, na bahati nzuri imekubalika baraabara!.

Mara baada ya hapo waliona kama walikosea kidogo, ndiposa kwa wakati tulionao tunaona mambo kama haya mf. wa hii mada. Jiulize nini kilicholetwa na mkoloni/mzungu ambacho Africa ukiwahi kukataa na hakikufanikiwa mpaka leo?
 
Ina maana mshana Jr hajaiona hii? Natamani Sana kuona mtazamo wake. Toka mada ianze mpaka Leo nimeamua kuamini mada imekuwa ya moto. Nilitegemea makubwa Sana toka kwake na rakims
 
Viumbe hao wenye akili wa aina mbili walikuwa ni HUMANOIDS, yaani viumbe wenye akili wenye umbo la binadamu, na aina ya pili ni REPTOIDS, yaani viumbe wenye akili wenye umbo la mijusi. Hao ndio Wazazi wa kale ulimwenguni pote .

Chanzo, tafadhali? Uthebitisho wowote?

Kama huna, acha.
 
Back
Top Bottom