Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

Kuna uzi mmoja mchangiaji alimuita malkia wa malkia ila niliuliza kama kuna mfalme pembeni yake ndo sijapewa jibu mpaka leo

Kama huyo mungu wao yupo na wanamdhalilisha hivo alafu anapiga kimya, basi ujue amejikaza kisabuni :D
 
Unatengeneza hitimisho kutokana na makosa ya watu kufikiri matokeo yake na wewe unaonekana wa ajabu sana.....

Kwanza unapaswa kujua maana ya Mungu ndio ujue haiwezekani kukawa na miungu wawili au zaidi....

Pili,kukiwa na watu watano,wa kwanza anasema mlima Kilimanjaro upo Madagascar,wa pili akasema upo Mauritinius,wa tatu akaema upo Wales,wa nne akasema upo Tandahimba na wa tano akasema upo Tanzania mkoa wa Kilimanjaro basi kutakuwa na milima mitano ya Kilimanjaro?

Fikiri kijana .....

Upo sawa mkuu Eiyer ila unaonaje kama ungejibu hoja kwanza alafu ukatoa na hiyo mifano ya milima isiyoendana na maada yenyewe ili uoneshe kuwa na wewe ni tofauti na wapumbavu waliotangulia?
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo jumla wako wangapi hao Mungu?

Mi kwa upande wangu Mungu ni mmoja, ila sio yule mzee mwenye madevu anayehubiriwa na hizi dini zao. Yule ambae amekaa kwenye kiti kusubiri kuwachoma moto watu huyo HAYUPO! Zile ni hadithi tu za kale.

Kuhusu madhehebu kuwa mengi ni kutafuta sadaka tu wala hakuna la zaidi.

Ok... ninavyojua mimi mungu maana yake ni kitu/kiumbe chochote ambacho unakiamin,kuabudu na kukitukuza kwa kuamini kuwa kina mamlaka na uwezo wa juu kuliko wewe...ambacho kinauwezo wa kutatua maisha yako.
na ndio maana wengine wanaamin mawe,mito,milima,ng,ombe,bahari,watu, n.k
 
Hujaniambia jumla wako wangapi mkuu! Hebu piga hesabu unipe jibu basi
 
siwezi kukwambia ni wangapi kwa sababu utasema niwataje wote...
keep in your mind kuwa tokea enzi za zamani kila jamii ilikuwa na kitu/mungu ambaye wanakiabudu kutokana na imani ya jamii husika, na ndio maana hata biblia imeishia kusema miungu... .. .ila haikuorodhesha ni mingapi
 
Ndio maana hata wakitutembelea tutaanza kuwaita mungu, shetani, pepo, muujiza nk.
Kama wao kipindi hicho walishaweza kuzuia kifo cha uzee, huoni sasa watakua na technology ya kutisha?
Mfano sisi tuweze kupandikiza uhai kwenye sayari ya mars alafu turudi duniani, baada ya maelfu ya miaka tuende kuwatembelea wanetu ambao hawatujui unategemea watatuitaje kama sio watasema mungu amewatuma malaika zake?

Ndio. Watasema hivyo japo itakuwa si kweli, hiyo itatokana na uchanga wa technology yao/kukosa maarifa.

Nice topic, niliwahi sikia kuwa the whole information is encoded to human DNA na once binadamu atakapokuwa smart enough kudecode hizo info hapo ndo atakuwa na keys to his maker and secrete to immortality.
 
Upo sawa mkuu Eiyer ila unaonaje kama ungejibu hoja kwanza alafu ukatoa na hiyo mifano ya milima isiyoendana na maada yenyewe ili uoneshe kuwa na wewe ni tofauti na wapumbavu waliotangulia?

Unajua maana ya "quote"?

Mimi nimequote post yako na ndio niiyoijibu,sasa unataka nijibu mada ipi?

Halafu unajua tofauti ya maada na mada?

By the way,mwenye mada nimemuuliza swali hajajibu mpaka sasa,unataka nijibu kipi?
 
Ahsante kwa masahihisho mkuu Eiyer pale ilitakiwa iwe mada badala ya maada
na pia nashukuru kwa quote post yangu na kuuliza maswali ambayo ilibidi umuulize mtoa mada...hebu jaribu tena kurudi kwenye quote yako alafu uje uniambie ulichouliza alipaswa aulizwe nani...ili uthibitishe upumbavu wako#
 
Last edited by a moderator:
elimu kuhusu dunia na ulimwengu zaidi uijuavyo,zaidi ya ulivofundishwa shule,zaidi ya ulivyo simuliwa na watu wa dini,zaidi ya ulivyosoma machapisho mbalimbali ya watafiti na wanasayansi na zaidi ya ulivyo simuliwa na wazee wako wako wa ukoo.
 
nafkiri mkuu umetafakari na umeenda mbali sana had umeamua kusema ivo.
 
TOMJell Nimejaribu Kupitia Ezekiel 1_.. Nimewasoma Hao Viumbe Nimekosa Jibu Kama Ulipta Majibu Ama Kuna Mweny Ufafanuz Atujuze, Pia Back To The Mada Najaribu Kujiuliza Kama Si Ni Jamii Ya Hao Viumbe Kwa Nin Bado Tuko Nyuma Hasa Waafrica
 
Last edited by a moderator:
TOMJell Nimejaribu Kupitia Ezekiel 1_.. Nimewasoma Hao Viumbe Nimekosa Jibu Kama Ulipta Majibu Ama Kuna Mweny Ufafanuz Atujuze, Pia Back To The Mada Najaribu Kujiuliza Kama Si Ni Jamii Ya Hao Viumbe Kwa Nin Bado Tuko Nyuma Hasa Waafrica

sijapata majibu mkuu
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa masahihisho mkuu Eiyer pale ilitakiwa iwe mada badala ya maada
na pia nashukuru kwa quote post yangu na kuuliza maswali ambayo ilibidi umuulize mtoa mada...hebu jaribu tena kurudi kwenye quote yako alafu uje uniambie ulichouliza alipaswa aulizwe nani...ili uthibitishe upumbavu wako#

Unafikiri kuwa sielewi nilichoandika kijana?

Mtoa mada kazungumza kuhusu kuwepo kwa miungu wengi?

Mtoa mada kasema alishauliza watu kuhusu maana ya Mungu?

Nioneshe kwenye mada mahali kwenye masuala hayo nitajua unajielewa.....!!
 
Unatengeneza hitimisho kutokana na makosa ya watu kufikiri matokeo yake na wewe unaonekana wa ajabu sana.....

Kwanza unapaswa kujua maana ya Mungu ndio ujue haiwezekani kukawa na miungu wawili au zaidi....

Pili,kukiwa na watu watano,wa kwanza anasema mlima Kilimanjaro upo Madagascar,wa pili akasema upo Mauritinius,wa tatu akaema upo Wales,wa nne akasema upo Tandahimba na wa tano akasema upo Tanzania mkoa wa Kilimanjaro basi kutakuwa na milima mitano ya Kilimanjaro?

Fikiri kijana .....

Mkuu Eiyer hebu pitia hapa uone ulicho quote ni nini?
jaribu kufatilia hoja ilipotokea mpaka kufikia hapo(kuhusu miungu)maana nilikuwa naongea na Crocodiletooth, naomba kwanza ufatilie post tulizoanza mpaka kufikia hapo... sio unakua kama kitenzi kikurupushi.
alafu jaribu kuyaweka maneno yako katika sentensi moja ambayo inaleta maana.
 
Last edited by a moderator:
Unafikiri kuwa sielewi nilichoandika kijana?

Mtoa mada kazungumza kuhusu kuwepo kwa miungu wengi?

Mtoa mada kasema alishauliza watu kuhusu maana ya Mungu?

Nioneshe kwenye mada mahali kwenye masuala hayo nitajua unajielewa.....!!

Eiyer naomba uwe muelewa kidogo tu inatosha.
mtoa mada hajazungumza kuhusu habari ya neno mungu ni nini?...mtoa mada hajazungumza habari za miungu n.k ila hayo yote nimesema mimi..... na ndio maana nimekuomba ufatilie post zangu nilizoanza mpaka kufikia hapo ili ujue nilikuwa nazungumza na nani sio unakurupuka tuuu kiongozi,

huoni kuwa unazidi kujiongezea credt za upumbavu???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom