Jambazi Mwokovu

Prof Gamba

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
390
254
Jambazi aliingia kanisani na bunduki, akasema wanaosema wanampenda YESU wabaki humu na wasiompenda watoke nje. Waumini wote wakatoka nje, ndani akabaki mchungaji tu na wazee wawili. Jambazi akamgeukia mchungaji na akasema, "Mtumishi unaweza kuendelea na ibada, nilitaka kukuondolea wanafiki....JUMAPILI NJEMA.
Je ungekuwemo humo kanisani ungechukua wamuzi gani kutokana na amri ya Jambazi?
 
Hivi kumbe ckuhizi majambaz wamekuwa na masihara namna hio ntakuwa ckimbii hata ipigwe risasi hewan
 
Hapo ni kuvua viatu na kutoka na mbio nyingi sana ,mungu mwenyewe anajua km nampenda au la!!!

Ni kweli Mungu anajua kuwa unampenda lakini hapo unakuwa umemkataa kabisaa, inakubidi ukubari kufa pamoja naye wakati wowote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom