Jambazi Mwokovu

Hivi kumbe ckuhizi majambaz wamekuwa na masihara namna hio ntakuwa ckimbii hata ipigwe risasi hewan

Usiwe unakimbia uone utakavyokuwa chemchemi ya maji kwa kujikojolea!!!
majambazi ni nomaa maana wanakupoteza muda wowote.
 
Hapo ni mbio tu bila kusita wala kujiuliza mara mbili mbili.

Mimi nadhani haya maamuzi kwa wakati huo yatakuwa ni sahihi japokuwa huo ni usaliti mbele ya Mungu wako. Maana hapo utakuwa unauponya mwili na wala sio roho.
 
wanasali ili siku wakifa wafanyiwe ibada ya MLAZE PEMA PEPONI..hilo tu.!
 
umesahau kuwa kumfuata Yesu lazima ujikane mwenyewe, ningekuwa Mchungaji ningefunga milango kabisa ili kila aliyetoka asiingie tena

Huwezi kupata ujasiri huo mbele ya majambazi hata kama ni mchungaji, ukumbuke pia kuwa kila mtu atajitwisha mzigo wake mwenyewe.
 
dah...huu utani mbona kama unafundisho fulani hivi ndani yake.....mbele ya kifo bhana......chochote chawezekana.
 
Huwezi kupata ujasiri huo mbele ya majambazi hata kama ni mchungaji, ukumbuke pia kuwa kila mtu atajitwisha mzigo wake mwenyewe.

Baada ya wanafunzi kumwomba Yesu ili wakawaage ndugu zao kwanza ndipo waje wamfuate, aliwaambia....kila ajaye kwangu lazima ajikane yeye mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom