Jamani wandugu nisaidien

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Nina girlfriend 2,wote wananipenda nashindwa fanya maamuzi coz nikimwacha mmoja sitajisikia kama namtendea haki naye atanilaumu sana.kubwa zaidi nimegundua kuwa wanakaa karibu na watakuja gundua.nisaidien p/se.am serious
 
Nimeelewa tu mstari wa kwanza,huko kwngne cjaelewa chochote,jifunze kuandika vizuri.over
 
Well umechimba shimo mwenyewe...what did you think? Naangalia jina lako nali associate na issue uliyonayo, nashindwa kujua kama uko serious au you are just a player. Labda nikupe ushauri tu. Don't ever play women like this again. Kuna siku utalipa.
 
Hahahaaaaa hii kali! Unaposema ukimuacha mmoja hautakua umemtendea haki basi watambulishe wafahamiane ndio itakua jambo la busara....lol
 
Kila jambo lina gharama zake. Zipo gharama zinazoweza kubebeka, na zipo zisizobebeka. Kama unaona kumwacha mmoja utakuwa haujatenda haki, ilitakiwa wazo hilo uwe nalo kabla haujamtongoza huyo mwingine, so mm nakushauri kubali kuonekana mbaya kwa wote halafu nenda kajichukulie kifaa kingine mbali na hapo ili kulinda heshima yako, or subiri wajuane ili uchafue zaidi jina lako.
 
Mchukue mwenye sifa unazozitaka sababu haiwezekani wote wakawa na sifa sawa,na wewe unaelekea hutosheki kama Kaburi.
 
ArabianFalcon kama ungekua wewe ndo mmoja wa hao mabint ungesema hivyo?
 
nina girlfriend 2,wote wananipenda nashindwa fanya maamuzi coz nikimwacha mmoja sitajisikia kama namtendea haki naye atanilaumu sana.kubwa zaidi nimegundua kuwa wanakaa karibu na watakuja gundua.nisaidien p/se.am serious

waambie nimeamua kumfwata cameroon pls niachen tafadhali atakae endeleea kukungania huyo nenda nae
 
Mbona hujibu? Ilikuwaje ukamchukua wapili wakati tayari unaye mmoja?
 
umeshasema kuwa hautaki kumuacha mja kati yao ili ubaki na mmoja.

hakuna ushauri zaidi ya kuchagua mmoja kati yao. vinginevyo subiria wafahamiane then wakuache wote hapo utatatia akili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom