Jamani Niwishini Happy Birthday Basi! ! !

happy birth day to you *2 happy birthday dear Don Mangi,happy to you,how old are you now..........
 
happy birthday! Mungu akupe maisha zaidi, akili,busara na hekima na uishi kwa kumtegema yeye siku zote
 
Leo ndo cku nilipatikana kwa uchungu jamani, niwish happy birthday na mama angu mu mpe hongera jaman, nsimsahau baba but najua hakuingia hata wodini. . .a special appreciation to all women kazi mnayofanya kule ndani ni ngumu mno. . .God bless you all!

enjoy your day kaka!happy birthday..
 
Leo ndo cku nilipatikana kwa uchungu jamani, niwish happy birthday !
9k=
9k=
 
Hako katafrija kafupi cha kukupongeza katafanyikia bar gani?
HPPY BRTHADAY DON MANGI!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom