Jamani Niwishini Happy Birthday Basi! ! !

Happy birthday don mangi! Piga goti na kumshukuru Mungu kwa kuiona siku hii..kwani kuna wengi walitamani na hawakufika. May u stay healthy and blessed.

Thanx Amyner that is so sure...I will. thanx once again
 
Happy Birthday Don Mangi nakutakia maisha mema yenye baraka tele.
Mshukuru Mungu kwa kukufikisha hapo ulipo kwa kutenda sawasawa na Mungu anavyotaka na kuwaheshimu Baba na Mama yako ili upate kuishi siku nyingi zaidi kama Mungu alivyotuahidi.
 
Muchas Gracias, thank you,...worry not I will.

Happy Birthday Don Mangi nakutakia maisha mema yenye baraka tele.
Mshukuru Mungu kwa kukufikisha hapo ulipo kwa kutenda sawasawa na Mungu anavyotaka na kuwaheshimu Baba na Mama yako ili upate kuishi siku nyingi zaidi kama Mungu alivyotuahidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom