Noname
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 1,269
- 28
hahaa waziri wa gender...safi kabisa mie natetea haki za wanaume....wanawake kama nyie mnatakiwa kupewa uwaziri wa gender bila kupata ubunge!!!
kagua nimrfanyia nini this useful post
hahaa waziri wa gender...safi kabisa mie natetea haki za wanaume....wanawake kama nyie mnatakiwa kupewa uwaziri wa gender bila kupata ubunge!!!
kagua nimrfanyia nini this useful post
mimi kwa kweli mila za kipuuzi hizi nazipiga chini hata bil akuulizia. Hii ni haki ya msingi kwa mwanandoa, iweje bibie uteseke kwa miezi yote hiyo kwa kutopata 'conjugal rights zako??
plz plz hebu vunja huo ukimya zungumza na mumeo. vinginevyo utajikuta unafanya uamuzi mbaya sana kwa sababu kila kitu kina mipaka. kuna siku huo uvumilivu utakushinda ukaingia majaribu ya kutafuta pa kupoozea
Habari wana jamii,
Naombeni msaada wenu wa kiushauri, na naomba uwe ushauri wa ukweli kutoka mioyoni mwenu, maana hii ni true story its not a joke haya ni maisha yangu, mpaka nimeamua kuwashirikisha hili jambo mjue kweli yamenikuta.
MImi ni mama wa watoto watatu. Ndoa yangu inatakribani miaka kumi na sita, kwa kweli tunamshukuru Mwenyezi Mungu ametujaalia uwezo, kwa sababu wote tunafanya kazi Mr. amejiajiri ana kampuni yake binafsi mimi pia ni mjasiriamali. Pesa tunazo za kutosha si kwamba najisifia hila tunaishi maisha mazuri na tunawasaidia ndugu zetu wote wa pande zote mbili.
Tatizo langu ni kwamba mume wangu mpenzi, baba wa watoto wangu, sijui ana tatizo gani? Maana jamani kuhusu unyumba ni shida mno mnoooooooooooooooooooo. Yaani uwezi amini tunaweza kukaa hata miezi 6 - 12 hatujadumisha mila. Sielewi jamani wenzangu naombeni tu mnisaidie.
Tumeoana kabila moja, na kikwetu huwa mwanamke haruhusiwi kumwomba mchezo mume wake hata kama una hamu kiasi gani. Tatizo lingine ni kwamba yeye ndiye mwanaume wangu wa kwanza kunileta katika ulimwengu wa mapenzi.
Kifupi kila kitu ambacho mwanamke angetamani mume wake amfanyie napata, kwa mfano: watoto wanasoma shule nzuri, tunakula vizuri, sehemu za starehe yaani nikimwambia mume wangu leo twende, twanga, wazee wa ngwasuma, na nyinginezo unazozikua hana shida. Hata kama yuko nje ya mji kikazi kukiwa na shughuri za namna hii huwa hana neno, ananiruhusu tu mpaka watu wa pembeni (yaani majirani na marafiki) kwa kweli huwa wanatamani maisha yetu huwa mashosti zangu wanasema kwa kweli wangetamani kuwa na mume kama wangu, mimi huwa nawajibu tu kwamba aksanteni, ila langu moyoni. Kuna shostito wangu mmoja huwa ndie ninashare naye, yeye ananiambia nijitahidi tu kusema naye (yaani eti mie ndie nianzishe libeneke)
Hebu wadada wanzangu mlioolewa naombeni mnisaidie, hata wakaka pia nanyi mnawafanyia wake zenu haya au inakuwaje jamani. Yaani muda huu ninapoaandika thread hii niko total confused maana nina kama miezi 8 sijapata mambo.
Wanajamii wenzangu tafadhali naombeni mlichukulie hili suala kwa uzito unaostahili
:lying:ahhhhhh acha uchowo wewe km unataka kumsaidia mawazo asi umsaidie tu sa cha kujitia waDADA tu ndoo wameombwa kitu gani?ound: ningekushauri lakini umeamua kuomba ushauri kwa wadada wenzako walioolewa nami ni mwanaume. nakuombea ili mungu akupe haja ya moyo wako kupitia kwa mr wako na si vinginevyo! kila la heri safina!
:lying:ahhhhhh acha uchowo wewe km unataka kumsaidia mawazo asi umsaidie tu sa cha kujitia waDADA tu ndoo wameombwa kitu gani?
ebu acha ujembe uo km una fruitful advice pls gve t 2ha!!
pole safina jaman
unaniogopesha mwenzangu ata kuolewa kwenyew km ndo uko!!!
mi staki kabisa dah bora ata mngekuwa bfrend na galfrend mbona ungemtimua ........dahh no muhogo wa jangombe miezi 8 ...sa unakaa nae wanini ? pamb?
dai dudu bib weeeeeeeeee !!!!!!!!km vp nenda KWA MSHENGA !!!!!!!!
pole dadangu!!!!!!!!!!!!
ndoa makorokocho eenhhhhhh ???????:cryingh mamamaria nsaidie mimi .....roho wa mungu nipe busara na hekima mume atakayenijia awe mpya na mtamu kwa kunijaalia yote nitakayoyataka kwake :amen:
POLE DADA!!!!!!!!!!!

Ivi statistic zinasomaje hapo kati ya walio kwenye ndoa na wasio!! % ya uzinzi/uasherati ipi kubwa?Natamani uvumilivu huu ungewaambukiza wote wasioolewa na wasiooa ili dhambi ya uasherati/uzinzi iishe.