Jamani nisaidieni ndoa yangu

Nalipenda saaana Lile tangazo la CHAMPION la vunja Ukimya, jitahidi ulione hata leo kwenye mechi za world ze cup watalionyesha na kisha ulifanyie kazi.

Pili, Tumia busara sana kumjulisha mwenzio jambo hili na jinsi lilivyokuwa kikwazo kwako.

Mkaribishe na MUNGU pia isije ikawa ndo pengine dawa na siri ya mafanikio ya Mumeo huyo kuwa asije akampa haki yake ya ndoa mkewe ili afanikiwe...... nina mifano halisi ya watu hao hasa hapa makambako au na wewe upo hapa....

Pole sana, Utashinda tu
 
Lazima kuna chanzo kwa sababu sidhani kama vitu vinaweza kubadilika tu kama sivyo vilivyoanza. Ikiwa sio matatizo ya kiafya yanamkabili na hataki kukujuvya kwa sababu moja au nyingine basi huenda au ana nyumba ndogo maana haiwezekani mtu mlale kitanda kimoja usihisi uwepo wake, kwani hamjifuniki shuka moja ni kusema kila mtu ana shuka lake hata kama bado hamuwezi kukaa miezi sita maana hata ukilala na nduguyo (asiye mume/mke) kitanda kimoja bado utamkanyaga na kushituka kuwa kuna mtu mwingine usije ukamuumiza hivyo unalala kwa adabu. Sasa nyie mliovuliana nguo mpaka mkazalisha watoto watatu mmh!

Labda uniambie kwenye chumba chenu mmna vitanda viwili kila mmoja anajinafasi kwenye kitanda chake hivyo mwenzio kwakuwa ndiye anayekuanza kila siku akasema ngoja aone mwisho wako wa kudumisha mila. tehe tehe:pound: by the way pole sana jaribu kuangali chanzo cha hayo yote nini lazima utapata jibu tu. usikonde.
 
:lying:ahhhhhh acha uchowo wewe km unataka kumsaidia mawazo asi umsaidie tu sa cha kujitia waDADA tu ndoo wameombwa kitu gani?
ebu acha ujembe uo km una fruitful advice pls gve t 2ha!!
pole safina jaman
unaniogopesha mwenzangu ata kuolewa kwenyew km ndo uko!!!
mi staki kabisa dah bora ata mngekuwa bfrend na galfrend mbona ungemtimua ........dahh no muhogo wa jangombe miezi 8 ...sa unakaa nae wanini ? pamb?
dai dudu bib weeeeeeeeee !!!!!!!!km vp nenda KWA MSHENGA !!!!!!!!
pole dadangu!!!!!!!!!!!!

ndoa makorokocho eenhhhhhh ???????:crying:eek:h mamamaria nsaidie mimi .....roho wa mungu nipe busara na hekima mume atakayenijia awe mpya na mtamu kwa kunijaalia yote nitakayoyataka kwake :amen:
POLE DADA!!!!!!!!!!!

Mweh!:A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue::A S tongue:
 
Kumbe upo ku-MAKAMBAKO?

Aaah mbona huko kwetu ndo zao ahao wafanyabishara!

Hebu tupe kalenda ya mafaniko yenu!
 
....aah, huenda mumeo ni obese, au au nawe umejisahau ushapoteza mvuto. Huenda ana ugonjwa wa kisukari. hivyo kuathiri nguvu zake za kiume. Au, pengine tendo la ndoa baina yenu lilishaacha kuwa ni starehe, likapitia kipindi cha 'wajibu', na sasa hakuna mvuto tena kwake kuwajibika kwako.

Jaribuni kubadili mazingira, uwezo mnao...siku moja panga 'honeymoon' um surprise... hakikisha Ijumaa, jumamosi mpaka jumapili mnaitumia nyie wawili pekee hukooo kwenye fukwe za maraha,... Jipeni walau siku tatu mbali na familia, biashara na ajira zenu ambazo naamini zimechangia stress kwenye maisha yenu.

Inawezekana.

Safina zingatia Ushauri huu makini.
 
:lying:ahhhhhh acha uchowo wewe km unataka kumsaidia mawazo asi umsaidie tu sa cha kujitia waDADA tu ndoo wameombwa kitu gani?
ebu acha ujembe uo km una fruitful advice pls gve t 2ha!!
pole safina jaman
unaniogopesha mwenzangu ata kuolewa kwenyew km ndo uko!!!
mi staki kabisa dah bora ata mngekuwa bfrend na galfrend mbona ungemtimua ........dahh no muhogo wa jangombe miezi 8 ...sa unakaa nae wanini ? pamb?
dai dudu bib weeeeeeeeee !!!!!!!!km vp nenda KWA MSHENGA !!!!!!!!
pole dadangu!!!!!!!!!!!!

ndoa makorokocho eenhhhhhh ???????:crying:eek:h mamamaria nsaidie mimi .....roho wa mungu nipe busara na hekima mume atakayenijia awe mpya na mtamu kwa kunijaalia yote nitakayoyataka kwake :amen:
POLE DADA!!!!!!!!!!!

Hakuna haja, wala si busara kukimbilia kwa mshenga wakati hata hawajakaa kitako na kuuulizana kiunaga ubagari kuwa Bwana "Kunani" au "Kulikoni"
 
Eti "Mila" Sometime silipendi hili neno.....Zipo Mila za kudumisha ila sio kama hizi na za Kuchakachua pale mahala kama wafanyavyo wakurya.......
 
Back
Top Bottom