Jamani...Nauliza tu

Poa,nitavaa halafu nikodoe macho vizuri kama kny avatar yako then nitakupa majibu

Usichelewe tafadhali. Ila ukigundua kuwa, kabla ya kumega wanaume hubembeleza lakini baada ya kumega hawabembelezi bali wanaliwaza, usimwambie mtu. Waache na wao wafanye utafiti wao. Sawa Wiselady wangue? haya kamata na hii bakshishi yako hapo chini!


The Following User Says Thank You to Wiselady For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
Nikilia nabembelezwa kwa upendo,
naye akinuna namliwaza kwa vitendo

Je wewe ushawahi kubembelezwa,
mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa nadekezwa........... ah ah nabembelezwaa ah

By Barnaba THT.

Hivi kuna mapenzi ya hivi kweli au ni nyimbo tu?

Sijui kwa vile kesho ni sikukuu basi leo naiona kama ijmaa vile ah :sick::sick::sick::smow:


Kwa wenye bahati zao mapenzi kama hayo yapo sana tu, kama hujabahatika basi muombe mungu, lakini siku hizi asilimia kubwa ya mapenzi ni usanii mtupu!
 
jamani eeh!.....

samahani sana jamani naomba kuuliza tu wajameni....!

mbona mimi kipindi hichi nimekuwa bize sana?????kwa nini?
 
This question comes from the pope? .................Confused!

Yes..cause nowhere did our ST RR said he will be having lunch and SOMETHING else...I was the only one with such a sensitive information.....lol:decision:
 
Tatizo la kuolewa na wakoloni matineja!
HEHEHEHE!halafu wajameni eeh!
naomba kuuliza tena wajameni........................

mbona siku hizi WHITE LEKSAAZ vyumba ni adimu sanaaaaaaaaa!heheheh!samahani wajameni

ngoja niiiiiii:llama::llama::llama::llama:!
 
Back
Top Bottom