Jamani...Nauliza tu

...kuna mwingine naye aliimba "nibebee eh nami nikuonyeshe penzi, nakukupa ili usiende" Kumbe wengine pamoja na kuwabembeleza, wanataka uwabebe, duh
 
Mapenzi ya kisasa haya yaani nikiwa nazo huwa naogoshwa, nalishwa, navalishwa yaani full miraha

haha eti full maraha wakati unajua wananyemelea wallet yako.
kwa hiyo siku ukiwa huna hela u r nobody kwao sio!
siku ukiwa huna hela hata ufiwe hawatakubembeleza lkn ukiwa nazo hata ukipiga chafya watu machozi yanawalengalenga.
 
'mtoto wa kike' ndo unataka awe king'ang'anizi au? ......

Hapana, 'mtoto wa kike' ajue kwamba kubembeleza mara moja haitoshi,,raha ya kubembelezwa ubembelezwe mara kadhaa, unajua kuna raha kusikia ile sauatiya kubembelezwa sas aukinibembeleza mara moja unakuwa umeniambia hujanibembeleza eeh...especially kwa 'mtoto' kama wewe dah...raha duniani
 
chauro..... hahahah ndoto tena? kweli mapenzi hayatabiriki. Naombeni definition ya neno mapenzi .

we acha hii kitu hushindwi kutembea ukiongea mwenyewe ndoto muhimu zinakufanya uone kama ushafanya yote kumbe ndo kwanza kweupe watu tunaibiana tu cheichei shangazi nyingi!
 
My bad ... hivi nimesema umeacha?

hapana nilisoma vibaya kumbe uliambiwa u-DELETE ah

Good..now u r a good student..tofauti ni kama mbingu na ardhi eeh au sio..

sasa turudi kwenye kubembelezana.......mi nasema kubembelezana ni msingi mmojawapo wa kuimarisha mapenzi...:tonguez:
 
Ah Fidel unabembelezwa ukiwa na mshiko ina maana weye mwenzetu ukiwa na mshiko unafanya matangazo ka mabango ya mgombea uchaguzi eh?

Nikiwa na mshiko si ndo namtafuta bila mshiko nitamtafutaje?
Kwa hiyo akiona namtafuta anajua leo mgodi umecheua na unanukia hapo nabembelezwa mpaka zinapo isha.
 
haha eti full maraha wakati unajua wananyemelea wallet yako.
kwa hiyo siku ukiwa huna hela u r nobody kwao sio!
siku ukiwa huna hela hata ufiwe hawatakubembeleza lkn ukiwa nazo hata ukipiga chafya watu machozi yanawalengalenga.

queen, braza ODM alikuwa anakutafuta:redfaces::redfaces::redfaces::embarrassed:

Ewaa akae nayo mpaka atosheke. BTW umenionea Queenkami? Ukimwona mwambie anachonifanyia si kizuri eti!
 
Sasa Rose ah

Ndio maana nasema nawaachia uwanja maana haya mapenzi siyaelewi kabisa maana yale yanayosifika kama visifa vya mapenzi hayafanyiki si bora wahenga wangeweka wazi tu tutegemee nini tukiingia mapenzini kuliko kutupamba kumbe urembo wa mlima kilimanjaro, juu ice nzuri wakati ndani udongo na miamba ya mawe!!
ha!ha!ha! yan naskiaga walio ndoani wanabembelezwa KAKA aktaka MAMBO...au km amekukosea..yap anakubembeleza ..sasa iweje asikubembeleze? ahh hatari yan ata akina chacha mwta ,majura ,mafuru ,bwile wanabembeleza tena sana tu skuiz sasaiweje asikubembeleze?
km mwapendana kubembelezana nakshi nakshi ..lazima bwna....sa utaish vp na mtu asokubembeleza? mwaishi km kuruta na afande?kinachomata kubembelezwa anachokifanya afta kumaliza kuimba iz anaza kesi....
!!!!!!
 
haha eti full maraha wakati unajua wananyemelea wallet yako.
kwa hiyo siku ukiwa huna hela u r nobody kwao sio!
siku ukiwa huna hela hata ufiwe hawatakubembeleza lkn ukiwa nazo hata ukipiga chafya watu machozi yanawalengalenga.

Yaani mtu nabembelezwa alafu dia zinakuwa nyingi balaa kumbe noti tu mtu anafuata.
Mapenzi ya siku hizi ndo yalivyo yaani we acha tu.
 
ha!ha!ha! yan naskiaga walio ndoani wanabembelezwa KAKA aktaka MAMBO...au km amekukosea..yap anakubembeleza ..sasa iweje asikubembeleze? ahh hatari yan ata akina chacha mwta ,majura ,mafuru ,bwile wanabembeleza tena sana tu skuiz sasaiweje asikubembeleze?
km mwapendana kubembelezana nakshi nakshi ..lazima bwna....sa utaish vp na mtu asokubembeleza? mwaishi km kuruta na afande?kinachomata kubembelezwa anachokifanya afta kumaliza kuimba iz anaza kesi....
!!!!!!

Wewe Rose!!! umewahi ona mtu anabembeleza kabla ya kumega?

Kuna jamaa angu huwa anabembeleza mpaka analia machozi dah
 
queen, braza ODM alikuwa anakutafuta:redfaces::redfaces::redfaces::embarrassed:
Ehe Hommie, amesemaje Queen?

Anyway hebu pata hii bakshishi kwa kujali maslahi yangu na ya chama!

The Following User Says Thank You to Kaizer For This Useful Post:

Asprin (Today)
 
Hapana, 'mtoto wa kike' ajue kwamba kubembeleza mara moja haitoshi,,raha ya kubembelezwa ubembelezwe mara kadhaa, unajua kuna raha kusikia ile sauatiya kubembelezwa sas aukinibembeleza mara moja unakuwa umeniambia hujanibembeleza eeh...especially kwa 'mtoto' kama wewe dah...raha duniani

na wanaume huwa wana bembeleza au wabembelezwe wao tu?
 
ha!ha!ha! yan naskiaga walio ndoani wanabembelezwa KAKA aktaka MAMBO...au km amekukosea..yap anakubembeleza ..sasa iweje asikubembeleze? ahh hatari yan ata akina chacha mwta ,majura ,mafuru ,bwile wanabembeleza tena sana tu skuiz sasaiweje asikubembeleze?
km mwapendana kubembelezana nakshi nakshi ..lazima bwna....sa utaish vp na mtu asokubembeleza? mwaishi km kuruta na afande?kinachomata kubembelezwa anachokifanya afta kumaliza kuimba iz anaza kesi....
!!!!!!

kumbe ww bado Rose?:decision::decision:
 
I see MJ1 Nashindwa kukoment hapa ila mara moja kwa msimu inatokea...
hawa wasanii wanaimba mambo ya BOY FRIEND NA GIRL FRIEND penzi badi lina week sita mpaka 2 years
 
Mwingine analalamika
Na kama mapenzi ndio haya, naona bora nikimbie
naona sura ya furaha, iweje leo unibadilikie

Nimechoshwa na vituko na vipigo
majeraha kila siku mpenzi wako
Hivi kwa nini hunithaminiiiiiii

Sikujua kama mwingine unamuhudumia
ningejua moyoni mwangu nisingekupokea... najuta kupendaaa

By Lina, THT

TOTALLY CONFUSING!!!!!
 
Back
Top Bottom