Jamani...Nauliza tu

But I think nyumba ndogo is more respectable than Infii---- basing on sheria namba 3. em Ai rongi?
dada .....dada...naomba kubadilisha status yangu! kwa hisani yako dada. naweza kuwa ....heck......shem ...heck.......i mean.......heck....mtu wako wa karibu ...heck....kijana wako...heck. yaani nyumba....heck?
 
Hahahahah on one condition: UKANE UANACHAMA (na vyeo vyote) ulionao ISC heck
 
dada .....dada...naomba kubadilisha status yangu! kwa hisani yako dada. naweza kuwa ....heck......shem ...heck.......i mean.......heck....mtu wako wa karibu ...heck....kijana wako...heck. yaani nyumba....heck?

Kitu gani kinaendelea hapa kwa hisani ya watu wa baa?
 
Now nimeamini ninalindwa na Babu.... Aksante Babu naona KAKA Bigirita anataka kuchakachua akili ya Mjukuu--- sijui bado ana konyagi (Ndo tatizo la kunywa konyagi kwa roundi za bia ati)
 
Uzuri wa babu hakawii kusinzia....then taratiibu ...........
 
Now nimeamini ninalindwa na Babu.... Aksante Babu naona KAKA Bigirita anataka kuchakachua akili ya Mjukuu--- sijui bado ana konyagi (Ndo tatizo la kunywa konyagi kwa roundi za bia ati)

Kale ka msemo kama unampenda utamlinda, ndio nakapraktisi kwako! Tatizo Bigirita anachakachua konyagi na valuu!
 
Halafu na wewe unataka kumchakachua mjukuu wangu? Umesahau mjukuu wa mwenzio ni haramu?

Well....nilisahau kidogo....mjukuu wa mwenzio ni mjukuu wako pia (kauli ya WAMA - wajukuu na maendeleo)
 
Back
Top Bottom