Jamani Mume wangu Ananiogopa...

Pia yaonyesha hamjapima ukimwi nyie.....maaana yeye anafikiria ku.to.mb.wa.wakati mwenzake anaogopa mikimiki ili asipate michubuko....ukimwi ni soooo.....kama vipi mshauri jamaa mkapime ili awe freee nawe....and I am sure for 100% wewe haupo tayari kwenda kupima ngoma hata siku moja coz historia yako mie naijua vizuri ...si unajua yale mambo yako ya wakatiulee....au unajifanya umesahau binti yale mambo yako?habari ndio hiyo..!
Asante, kwa kuijua historia yangu, kwa vile unao uhakika kuwa naogopa naomba unifanyie cancelling ili nikapime kwa matakwa yako.
 
WanaJF,
Asante wote ambao umenipatia ushauri na maoni tofauti, yaliyo mema yatafanyiwa kazi. waliobeza na kutoa kashfa wamesamehewa kwani kila mtu ameongea alichoona kinafaa kunishauri. Nawatakia siku njema naomba nifunge mjadala!!!!!! mmmwaaaaaaaaaaaaaaaaaa wote!!!!
 
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali

hahahahahaha......utamua mwenzako wewe, wataka Simba kucheza na Chelsea ya akina Didier Drogba, polepole ndiyo mwendo, mpikia chakula kizuri cha kushiba, ameoga vizuri, hana stress akilini mwake then piga mausafi ya kufa mtu, puliza room panukie, shuka safiiiii, chumba kisafii, halafu mwache akutoe nguo mwenyewe halafu tuone anumwa au kazaliwa hivyo?
 
  • Thanks
Reactions: awp
Watu mnavyojua ku-take advantage si mchezo.
Yani mwenzako amekuja hapa kwenye public anataka msaada wewe unamvuta chamber? kuna shida gani kutoa ushauri hapa barazani kabla ya kuhamia mafichoni?

umeona eeee mjamaaa kanichekesha balaaaaa
chezeya tigoooo weye utakuta wakat anaandika tayari mambo yameharibika chini
jina lake sasa @Da womanizer duh
 
Last edited by a moderator:
Ok, so muda wa romance hauhesabiki! Anyway bado nadauti kama dk 20 utakuwa umefika kibo, wanaume wenyewe siku hizi wanakula chips tu, dk 3, 5 kamaliza

Haa ha ha ha h h ha ram una maneno wewe, hapo ktk red. Ila kwa sisi wanaume ni vyema sana kuzingatia balance diet, wengine tusipo do 1 week tu tunajichafua boxer. Lol
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: awp
Sijui historia yenu lakini kuna kipengele cha historia ya mhusika kwenye mambo ya mapenzi ikoje. KWa experince yangu ufundi wa mtu hauji galfa akikutana na mmke/mwanume anaejua. Inachukua miaka mingi sana ya practice. Sijafanya tafiti lakini kijana ambaye alikua player maisha yake mengi, uplayer uliochanganyika na utundu, pamoja na misaada ya "vitafunio" X pictures, atakua "most likely" na uzoefu wa kumridhisha mkewe kuliko yule aliyekua mlokole na demu wawili au mmoja ndio akaja kuoa. I know a lady alimdivorce mme wake sababu moja wapo ni kuwa jamaa akifika kwenye mapaja tu anaachia vitu, yani joto lile. Pamoja na sex therapy nyingi haikisaidia. The guy hakuwahi kudate saana zamani. She was like "I got married kwa sababu ya tendo la ndoa, na hii sio"...ila sishauri udivorce, maadama umechoose kulifanyia kazi.
:becky:
Sijakubali hiyo factor ya watu kusema yeye kujiona hana umiliki au not man enough kwa kuwa yuko kwako. Kwa mtazamo wa harakaharaka hiyo inaweza kuwa chachu ya yeye kuperform vizuri zaidi...(inaweza).
Na akiwa na aibu ya kulizungumzia pia ni tatizo kwani...muende taratibu, akitaka kukojoa punguza throttling mpaka azoee..:majani7:
 
  • Thanks
Reactions: awp
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali

Nimegundua mpenzi wako anapendelea kuruka ukuta sasa anaogopa ataanzaje kukuomba mruke ukuta kama unatoa mpe tu mwenzio Mungu hapendi uchoyo.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Huyo jamaa inawezekana anatatizo kama langu vile,hata mm kwa mwanamke hasa yeye ndo kanitaka then hanivutii kingono huwa nakuwa nina aibu hata kuongea naye,akivua ndo tobaa! naona kama namchungulia dada yangu,sasa ngoma nimpate tunayependana sawa niko tayari hata hadharan kungonoka,huyo jamaa simshangai ni kwamba havutiwi hata kidogo na huyo mwanamke
 
  • Thanks
Reactions: awp
aisee!
Ndoa zina majaribu!

Labda mtoto wa kike unakuwa mkavu, mimacho kodo!
Jirekebishe.



asante sana
dada kama uko dsm hapa nipm namba yako nije kukupa dawa kisawa sawa
ila angalizo ni kwamba unipende kama nilivo,uyo umuonae kwenye hii avatar ndie mwenyewe halisia utayekutana nae
nasubiria mwaliko
nataka nije nijenge heshima na kumpa darasa ndugu yangu huyoo..
 
  • Thanks
Reactions: awp
habari wana jf,
jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? Maumbile au kwa vile ananiogopa? Ushauri wenu tafadhali



au punguza hizo idadi ya shanga kiunoni hapo.bakisha kama mbili ivi
 
  • Thanks
Reactions: awp
Muulize taratibu atakupa sababu na kukaa kwako sio sbb ya yeye kuogopa kukueleza ukweli lkn huenda ndo nature yake, endelea kumdodosa utalijua hilo.....
 
  • Thanks
Reactions: awp
au punguza hizo idadi ya shanga kiunoni hapo.bakisha kama mbili ivi
NKADABWI, asante kwa ushauri ila sivaagi shanga. jina lako lina maadhi ya mikoa ya lindi na mtawar teh
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom