awp
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,711
- 599
- Thread starter
- #141
Asante, kwa kuijua historia yangu, kwa vile unao uhakika kuwa naogopa naomba unifanyie cancelling ili nikapime kwa matakwa yako.Pia yaonyesha hamjapima ukimwi nyie.....maaana yeye anafikiria ku.to.mb.wa.wakati mwenzake anaogopa mikimiki ili asipate michubuko....ukimwi ni soooo.....kama vipi mshauri jamaa mkapime ili awe freee nawe....and I am sure for 100% wewe haupo tayari kwenda kupima ngoma hata siku moja coz historia yako mie naijua vizuri ...si unajua yale mambo yako ya wakatiulee....au unajifanya umesahau binti yale mambo yako?habari ndio hiyo..!