Jamani Mume wangu Ananiogopa...

asante sana
dada kama uko dsm hapa nipm namba yako nije kukupa dawa kisawa sawa
ila angalizo ni kwamba unipende kama nilivo,uyo umuonae kwenye hii avatar ndie mwenyewe halisia utayekutana nae
nasubiria mwaliko
nataka nije nijenge heshima na kumpa darasa ndugu yangu huyoo..
Domo lako linanitisha nitakupaje denda?
 
nkadabwi, asante kwa ushauri ila sivaagi shanga. Jina lako lina maadhi ya mikoa ya lindi na mtawar teh

haswaaaa,,we si unaona hapo kitu cha "n"
kwenye "m" kiroho safi naitoa na naweka zangu "n"
ndio home sweet home huko
msalimie ndugu yangu huyo,pia mwambie awe anakuja kuja feri pale kupata supu ya pweza nayo inasaidia atii..!!!
 
  • Thanks
Reactions: awp
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali

Nafasi hizi za kushikwashikwa wengi huwa tunazikosa, halafu wanazipata waotaka kushikwa. Jamaniiiiiiiii!


Ushauri
Mjengee confidence ya kutosha kabla ya malavidavi, kwa maana ya kumpa uhuru wa kuongea. Likewise mhakikishie, kwa maneno na vitendo kwamba wewe ni wake na yeye ni wako. This may make a change.
 
  • Thanks
Reactions: awp
domo lako linanitisha nitakupaje denda?



ohoooh ushaaanza kuninyapaa ivo??
Jamani ukitaka burudani lazima ukubali na karaha kwa upande mwingine wangu
au basi nitavaa kiziba sura,,after all tatzo lako ww ni la kiufundi zaid
denda wala haingiliani na tatzo la ndugu yangu huyo
ndugu yangu huyo according to wewe ni kwamba n"dololo wake hausimami vizuri na sio kua hakupgi denda vizuri au sio??
Me naiweza kazi hiyo jamani pamoja na ubaya huu wa sura yangu
 
  • Thanks
Reactions: awp

Similar Discussions

Back
Top Bottom