Jamani Mimi Ni Rijali, Tatizo Ni Kucheza Salama!

Ni mazowea tu! Ukishazowea wala hakuna tatizo.
Kama sikuvaa jezi kamili, ule wasiwasi tu wa ngoma na watoto wasiokuwa "programmed", hunifanya nikose amani.
WITO: Jizuwie usifanye kabisa, lakini kama umeshindwa, tumia c*ndom.
 
hacha tamaa kumbe una mke? kuwa muungwana akidada manaake wengi tafuta moja sasa we wote unawataka nguvu utatoa wapi?
Sasa hapa mwenye tamaa ni nani mtoa mada michael, nitonye, bishanga au nani? maaana hawa wote wanachangia hii topic! jaribu kumquote mtu ndio utaeleweka!

Huo pia ni uhanisi. Uhanisi uko wa aina nyingi, hata kuwahi kushusha ni uhanisi.
 
Mmh hii nayo mpya!

Hapana sio mpya, hayo ni matatizo ambayo yapo na yanajulikana tiba zake, unaweza ku google erectile dysfunction and premature ejaculation treatment, utapata majibu.

Siongei kiutani hayo matatizo ya kuwa distracted na kitu chochote kingine wakati wa kujiandaa kufanya tendo na ukashindwa kusimisha itakavyo huo ni uhanisi.
 
Mmmh! hii mpya nayo!

Kweli inaweza kuwa ni Psycho zaidi...

Neno HIV linakusumbua akilini,au kutoiamini kondom kwa dhana kwamba,kuna chachu inayopungua...

Jaribu kwenda Pharmacy kubwa na omba kuuziwa Rough Ryder,na nyingine kama hizo..kwani zenyewe zimeboreshwa kiasi kwamba unaweza kudhani hujavaa...
 
Ni kama ukianza kucheza mpira chandimu ukianzia kucheza mpira peku peku na mpira wa makaratasi, baadae unaingia uwanjani unapewa viatu unakuwa ushazoea kupiga madochi unatoa nje.

Mi nashkuru nilipoanza kupiga danadana nilivaa raba.
 
Hapana sio mpya, hayo ni matatizo ambayo yapo na yanajulikana tiba zake, unaweza ku google erectile dysfunction and premature ejaculation treatment, utapata majibu.

Siongei kiutani hayo matatizo ya kuwa distracted na kitu chochote kingine wakati wa kujiandaa kufanya tendo na ukashindwa kusimisha itakavyo huo ni uhanisi.
Sawa mkuu nakubaliana na wewe, lakini kuwahi kwenyewe ni ukiwa ushazamisha au ukijiandaa kuzama unakuta ushaharibu...? hapo vipi?
 
Ni kama ukianza kucheza mpira chandimu ukianzia kucheza mpira peku peku na mpira wa makaratasi, baadae unaingia uwanjani unapewa viatu unakuwa ushazoea kupiga madochi unatoa nje.

Mi nashkuru nilipoanza kupiga danadana nilivaa raba.
Hapa nakukubali mkuu!
 
Sawa mkuu nakubaliana na wewe, lakini kuwahi kwenyewe ni ukiwa ushazamisha au ukijiandaa kuzama unakuta ushaharibu...? hapo vipi?

Yote ni mamoja hayo, hata uwe ushaanza kufanya ukasinyaa kabla ya kumaliza nayo pia ni tatizo. Tiba ni nyingi sana. Nenda kamuone Daktari, angalia usigonge Viagra bila ushauri wa daktari bingwa.
 
Binafsi nimependa story nzima ila ushauri wangu ni mzuri zaidi
kupunguza ndugu zako wasiteseke sana sana wakati ukianza kuumwa
kama unafanya kazi naomba fanya yafuatayo

1..nunua pampas za kutosha namanisha nyingi
2..akikisha umeandika husia wote hata kama una basikeli
3...akikisha unasema mapema kama una watoto wa nje ama ata kama unao ujaoa ndugu awawajui hiyo ni laana wajulishe ndugu zako
4..kuna jamaa wa korona una uwezo wa kutoa deposit ya maziko yako kuacha kusumbua famili sikuza mwisho...wanakupa bei ya jeneza/sanda/usafiri na mpaka ukiitaji walaisakafie wanakupa full ammount then unacheki na o kwa adv
5....mi nauza maua ya misiba kama mwana jf naruhu adv YA 10% UKIONDOKA 20 %kabla ujaondoka baada ya hapo ukiitaji wa tu wa kulia siku ya msiba naombawasilianaa na kampuni ya coorona mapema
mwisho all the best hope atutagongana ulipopita maana wanawake wa sikuhizi wanajifanya kushikilia kuweka vizuri kumbe wanachana ile psi yetu
 
Back
Top Bottom