Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 409
Inakata stimu kiukweli, lakn ukimwi nao unanafasi yake ukipekua...
Kujitetea vipi? mbona zenu mmeshindwa kuzivaa?usije ukawa wajitetea tu!
Mtani naomba usininadi!mto mada ni singo.
nakutetea mkuu baada ya kuona baba mchungaji kavamia thread!Mtani naomba usininadi!
Asante mkuu ubarikiwe!nakutetea mkuu baada ya kuona baba mchungaji kavamia thread!
Aisee kumbe tuko wengi hii kitu bwana inakata stimu kabisa. Kama vipi ipigwe marufuku kabisa watu tuenjoy bhana
Mkuu ndio maana mie nawapima kabisa maana ile kitu kusema ukweli inakata stimu!Huajakatazwa kucheza bila viatu,ila sasa utakapo kanyaga misumari ndio utatii akili.
Umenichekesha kweli wewe.Tuko wengi kumbe
mm sipo huko hyseee bila zana game haichezwi.
Huajakatazwa kucheza bila viatu,ila sasa utakapo kanyaga misumari ndio utatii akili.
Du! umenikuna penyewe haswa! ukiwa ni mtoto wa kike unaeleza vitu asilia unaufahamu sana mama, nitonye bahati mbaya kashatangaza nia kwa sweetlady, ningemshawishi kw............PSI ni ishu kwa wote hivyo usijali.
S.E.X ni kitendo cha asili kinachohitaji uhalisi na uasili wake.
PSI ni barrier hivyo unaweza usipate ladha na unaweza ukajikuta stimu inakatika.
Inabidi ujizoeze kisaikolojia ili ubongo wako upokee kionjo kipya au kigeni.
Kumbuka practice makes perfect.
Mmepima mkuu?wangu nimembembeleza kaelewa sasa ni jino kwa jino.
malizia sentensi basi maana unaacha watu waanze speculationsDu! umenikuna penyewe haswa! ukiwa ni mtoto wa kike unaeleza vitu asilia unaufahamu sana mama, nitonye bahati mbaya kashatangaza nia kwa sweetlady, ningemshawishi kw............
malizia sentensi basi maana unaacha watu waanze speculations
Anataka kukudondekea huyo embu mchombeze kidogo