Jamani Mimi Ni Rijali, Tatizo Ni Kucheza Salama!

Michael Scofield

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
1,225
471
Nikikishavaa viatu vya PSI, nashindwa kabisa kucheza mpira kiasi ambacho wakinadada wa mtaani kwangu, wamenitangaza kuwa si riziki, wengine wanasema nimetegwa na mke wangu, basi na maneno kibao.
Ukweli ni kuwa siwezi kabisa kazi nikiwa na viatu hivi, yaani hata kama nina moto vipi, nikishaifungua PSI tu, ngoma inanywea yenyewe.

Lakini nikicheze bila viatu wee! unaweza kuhama chumba.

Habari ndio hiyo imetoka kwa best friend wangu muda si mrefu
Nimemshauri amfuate mwenzie la sivyo UK hautamwacha.

Weekend njema wapendwa.
 
Na mkshamaliza kutembea peku peku mjue miguu yenu itakuwa na miiba kibao
tena miiba isiyotolewa kwa sindano wala dawa ila itawaganda na kuwaondoa duniani

tutakuwepo kuwaimbia parapanda italia

Nyie semeni tuu hii kitu inaondoa stimu bila kujua kuwa mnajiletea madhara wenyewe
 
Ni kweli kwa wengi ni balaa
Ila mkuu kuliko kupata vile vijamaa bora tuu uvae
Ikiwa na mpenzi ambaye umepima kuna raha yake bana hupati shida kama hizo
Kwenye miiba unaingia bila wasi wasi
 
khaah kwn lzm achen kupga puli ndo kunawafanya muwe hvyo pul c kavu kavu qwii qwii qwii
Kondomu unakuwa ugen!
 
Hili tatizo kusema ukweli linatukabili karibu wanaume wengi, kuvaa ile kitu labda raundi ya kwanza tu, raundi zingine kitu kinakataa kabisa nadhani yale mafuta nayo yanachangia kutuumiza.
Kuhusu haya mafuta, sijui labda kuna ka ukweli!?
 
tuache masikhara ya jf ukweli kinababa wengi tunalalamika kuhusu hili, ka vipi kuna spray unaweza kupulizia halafu ndo uvae kitendea kazi,inasaidia,maana kupiga mbizi bila helmet sooo.
PAW: chondechonde usiruhusu wanawake kukanyaga kwenye thread hii,pliz.
 
Back
Top Bottom