Leo nilikuwa kwenye Mitaa hapa Mwanza mazungumzo kwa asilima kubwa ni chuki dhidi ya CCM. Nikwauliza moja ya vikundi hivyo kwa nini mnaichukia CCM jamani karibu waniharibu sura. Mimi nadhani chuki ya CCM ni kwa hakuna kinachoendelea kwa upande wa upatikanaji wa huduma za jamii kama madawa, elimu, walimu wamekataa tamaa, Kwenye halmashauri hakuna kinachoendelea, Hakuna miradi inayoendelea, hakuna mzunguko wa hela, kuporomoka kwa sarafu yetu n.k. CCM chukueni hatua za haraka.