Jamani kwa kweli CCM inachukiwa na wananchi

koryo

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
639
276
Leo nilikuwa kwenye Mitaa hapa Mwanza mazungumzo kwa asilima kubwa ni chuki dhidi ya CCM. Nikwauliza moja ya vikundi hivyo kwa nini mnaichukia CCM jamani karibu waniharibu sura. Mimi nadhani chuki ya CCM ni kwa hakuna kinachoendelea kwa upande wa upatikanaji wa huduma za jamii kama madawa, elimu, walimu wamekataa tamaa, Kwenye halmashauri hakuna kinachoendelea, Hakuna miradi inayoendelea, hakuna mzunguko wa hela, kuporomoka kwa sarafu yetu n.k. CCM chukueni hatua za haraka.
 
Leo nilikuwa kwenye Mitaa hapa Mwanza mazungumzo kwa asilima kubwa ni chuki dhidi ya CCM. Nikwauliza moja ya vikundi hivyo kwa nini mnaichukia CCM jamani karibu waniharibu sura. Mimi nadhani chuki ya CCM ni kwa hakuna kinachoendelea kwa upande wa upatikanaji wa huduma za jamii kama madawa, elimu, walimu wamekataa tamaa, Kwenye halmashauri hakuna kinachoendelea, Hakuna miradi inayoendelea, hakuna mzunguko wa hela, kuporomoka kwa sarafu yetu n.k. CCM chukueni hatua za haraka.[/QUOTE
Ndugu "NAIBIWA SPIKA" badili usemi wako sio INACHUKIWA....HAIPENDWI KABISA KABISA....
 
Pigeni Kelele Tu....Ila Tukutane Uwanja Wa Taifa Kushuhudia Kuapishwa Kwa Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Hon.John P Magufuli
 
nataka kufanya utafiti kwa nini wakinamama wanaipenda ccm wakati ktk watu ambao walitakiwa kuwa na chuki kuzidi wazee,vijana na ccm ni wakina mama leo wao ndo wahanga wakubwa wa ujangili wa ccm kuanzia hospital wao ndo wanalazwa chini wakati wa kujifungua kama vile wakimbizi haya maji wao ndo wanatembea umbali mrefu kufata maji bt ukiangalia wao ndio wapenzi wakubwa wa ccm am sorry to say this katika watu wenye upeo mdogo wa ufahamu ni ............. cjui kama hata ili la wazungu kutuletea haki sawa na hawa kama wanajua wanachotaka ktk haki wanazozidai
 
Acheni KUJIDANGANYA labda unaichuia wewe lakini sio wananchi kama unavyosema wananchi wanakijua Chama Chao na wanakipenda sana
 
Hakuna Sababu ya Utafiti...Ukweli Upo Wazi CCM imewafukalisha Watanzania na Kuwanufaisha Wachache na Marafiki Zao.
 
Back
Top Bottom