Mpelijr
Member
- May 17, 2010
- 89
- 11
Tunazidi kushangaa jinsi hali ya siasa inavyoendelea nchini mwetu....hivi hii serikali mpya mbona wengi hatuoni mabadiliko?ni kama tumewekewa mvinyo wa 1960 katika chupa mpya?viongozi wenye madaraka makubwa ni wale wale au watu waliokuwa karibu na waliokuwa...je kutakuwa na mabadiliko kweli?au ndiyo tutashuhudia yale yale ya 2005....ya kubadilishwa baraza la mawaziri kila miezi 6?