Jamani huyu Kafa au ndio yupo Kitandani hapooooooooooooooooooo

11sih6a.jpg


Brother Michuzi,
Naitwa Alex Kasengo, nafanya kazi kwenye mgodi wa dhahabu huku kanda ya Ziwa. Wakati wa mapumziko wiki iliyopita nilienda kutembelea kijiji karibu na mgodi huu.
Baadae nikamkuta huyo mzee kwenye picha kalewa chakari kama anavyoonekana hapo. Pombe sio mbaya ila ukinywa kama maji matokeo yake ndiyo hayo. Naomba uiweke hiyo picha kwenye hii blog makini ili wale wenye tabia kama hizo waache mara moja.

Kweli Pombe Sio chai
...hiyo suruali imefunguka, kwenye goti kuna mchafuko wa NYESI nadhani walumendago wamemmwaga kimba jamaa. Walevi wengi wanakumbana na zahma hii ila siri yao (sijawahi kunywa pombe).

Pombe si kahawa walah
 
Tukiifuatilia family tree, lazma itamkonnect na JF member humu, ambaye pengine ameisha mpondea.
Tafakari ,, chukua hatua.
 
Jamani hiyo picha inatuonyesha mengi ya kutafakari:

1. Njaa na pombe haviendani.
2. Maisha bora kwa kila mtanzania.
3.Hali ya umaskini ilivyokithiri i.e abject poverty
4.Jinsi gani matabaka yameongezeka.
5. etc , etc, etc

Halafu unasimama kwenye jukwaa unahubiri siasa za uongo bila utekelezaji. Lakini je, watu kama huyu aliyelala hapa wataamka lini kisiasa na kidemokrasia? Wanatishwa kuwa usipompigia kura fulani atajua na atakudai ile elfu tano aliyokuhonga!! Wanaogopa bila kupata elimu kuwa hakuna nayekuja kuchungualia kwenye chumba cha kupigia kura ati hukumpa kura. Tutoe elimu kubwa sana ya upigaji kura with successful change of mindset, any other political party may overthrow our papa thithiem.
 
Jamani hiyo picha inatuonyesha mengi ya kutafakari:

1. Njaa na pombe haviendani.(Ukiwa Na Njaa Huwezi Jisadia Haja Kubwa)
2. Maisha bora kwa kila mtanzania.(kuweza kunywa Pombe ni pamoja kuwa na kipato)
3.Hali ya umaskini ilivyokithiri i.e abject poverty(Maskini ambaye hana kitu hanywi)
4.Jinsi gani matabaka yameongezeka.
5. etc , etc, etc

.

QUOTE]

Kazi Njema ila kile ki popo bawa ni balaa...[/
 
Hivi hawezi kuwa ni mgonjwa na ni kwamba amezidiwa na ugonjwa?au jamaa alimpima kujua kuwa amekunywa?
 
Akili za huyo mlevi ni kama za popo na nyeti zake. Unalewa katika mwezi mtukufu huu. Au ni laana
 
huyo kalala anasubiri msafara wa wakubwa wagawe tisheti na kofia
 
:confused2:​

hatujawa fare kwa huyo babu. huyo babu anawakilisha watz wengi kutokana na kutotimia kwa ile ahadi ya maisha bora kwa kila mtz.



ama kweli mfalme yu uchi na tumeona korodani zake!!!
 
Anabahati kweli huyu huko kijijini hakuna wahuni.
Lala hivyo maeneo ya manzese, tandale, kinondoni wahuni lazima wafanye kazi yao wanakata sili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom