Jamani, huwa mnapumzika wapi mkiwa Dar?

Nina mgeni wangu anakuja kutoka mahali fulani, sitaki afikie kwangu. Nataka nitafute Beach House nzuri, sea viewing.

Sio mbaya hata kama nikipata çlassic jungle House eneo tulivu. Iwe imezungukwa na bustani nzuri, miti, na sio mbaya ikiwa na ka swimming pool.

Au nyie wenzangu huwa mnapumzika wapi na wapenzi wenu?
Magogoni Ndugu,Ni pazuri sana, Pako na fence na security 24/7. Usipopapenda njoo inbox nikuelekeze chimbo, kama ni KE itakua rahisi kumsaidia
 
Nina mgeni wangu anakuja kutoka mahali fulani, sitaki afikie kwangu. Nataka nitafute Beach House nzuri, sea viewing.

Sio mbaya hata kama nikipata çlassic jungle House eneo tulivu. Iwe imezungukwa na bustani nzuri, miti, na sio mbaya ikiwa na ka swimming pool.

Au nyie wenzangu huwa mnapumzika wapi na wapenzi wenu?
Victoire umeona mtu anatoka majuu kutafuta K. Wewe ulikuwa unasangaa mtu kuitoa Dar K ili iliwe mwanza
 
Ras Kutani, katikati ya Kimbiji na Pemba mnazi.
Huku hakuna wazamiaji wala wapiga chabo.
 
Nina mgeni wangu anakuja kutoka mahali fulani, sitaki afikie kwangu. Nataka nitafute Beach House nzuri, sea viewing.

Sio mbaya hata kama nikipata çlassic jungle House eneo tulivu. Iwe imezungukwa na bustani nzuri, miti, na sio mbaya ikiwa na ka swimming pool.

Au nyie wenzangu huwa mnapumzika wapi na wapenzi wenu?

Huwa napumzika Massage parlour za sinza, tabata au kinondoni
 
Nina mgeni wangu anakuja kutoka mahali fulani, sitaki afikie kwangu. Nataka nitafute Beach House nzuri, sea viewing.

Sio mbaya hata kama nikipata çlassic jungle House eneo tulivu. Iwe imezungukwa na bustani nzuri, miti, na sio mbaya ikiwa na ka swimming pool.

Au nyie wenzangu huwa mnapumzika wapi na wapenzi wenu?
Kama ni mara yenu ya kwanza mi nakushauri uchukue tu loji ya kawaida ya elfu 40 utest zali kwanza. Unaweza igia gharama kubwa kutafuta sehemu exclusive mwisho unakuta uliyodhani yamo hayamo!
 
Nakazia.
 
Back
Top Bottom