Jamani hi imenishinda kabisa

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Naomba msaada wataalam!PC yangu ninapo play video kwa kutumia VLC PLAYER inaonyesha picha kwa kufifia sana,weupe unakua umezidi sana kwenye picha.JE TATIZO NI NINI?WAPI NILIPOCHEZEA?naombeni msaada.
 
Back
Top Bottom