nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,797
bora ya mwarabu kuliko mbara
Oh Yeah, Mwarabu hakuwafanya Watumwa, Makuli, Hakuwabagua sasa Ni Mweupe anakimbiliwa tena
Angalau wa Bara alikupia UHURU wako...
bora ya mwarabu kuliko mbara
subutu
subutu huo moto wake mtauwezaaa sisi tutaanzia dar kushusha hivyo vigorofa nya bot,nssf na vidara vya mkoloni mashambuliz kutokea ndan. subutu kurusha kombora znz utazame wat next?
Mimi naona bora ya hayo mabasha mashoga kuliko ushenzi na kutostarabika hadi kuwaua binadamu wenzio kama vile malbino kwa imani eti kuwa utatajirika kitu hiki hakifanyiki popote duniani isipokuwa bongo tu hi nikuonesha kuwa wabongo mpaka leo ni washamba tu wasokwenda na wakati. Shame on you.
Nendeni mkatoe maoni ya katiba mkijua kuwa mnaandika katiba ya tanganyika sio TZ it is over.hakuna tena nchi inayoitwa tanzania tushaifuta tangu 2010 july .
Tunacho subiri ni kumaliza maandaliz ya taasisi kamili za dola ya znz ambayo tushaitangaza kabla. Amkeni tanganyika.
JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA.
Kweli mtoto wewe si riziki!Mtakapoona mmejitenga mjue ndo mwisho wa uislamu zenj na kisiwa kubaki aidha kitupu au wakriso tu maana oic sio kipaumbele kwa sisi waabara na ni tishio maana kila palipo oic hakuna amani so hakuna oic wala ujinga wa oicbora ya mwarabu kuliko mbara
kijana wacha kasumba hizo sema kweli,! sio tabia nzuri mtu mzima kusema uongo hakuna cha muoman anayedhamini vuguvugu la ukombozi wa Wanzibar tutoka katika jinamizi hili lililopachikwa jina la muuungano, ni Wazanzibar wenyewe tu wameona bora wawachiwe wapumue kutokana na dhiki na mayanyaso na dharau zetu mnazotufanyia!
wewe kweli ni mfinyu wa mawazo, unachekesha kweli kweli muoman gani muda huu anetamani kuja Zanzibar, kisiwa kimekaa kama jaa, elewa kuwa wao wanachimba mafuta na uchumi wao upo juu sana na kama hujui wamarekani ndio walinzi wa ufalme wao, soma zaidi kijana na ndipo uje na kasumba zetu za kipumbavu kwenye forum, hii! watu na watanganyika wenzako walio weledi wanakucheka maana na wao wanajuwa kina ubaga hali ya Zanzibar na miongoni mwao wanatuunga mkono, kijana kasome tena! huu sio wakati wa kuuneza chuki! cc tunachodai ni haki yetu tu hakuna zaidi!
ni moja ya tabia na sifa ya watu wa huko-Hivi kwa nini mashoga na mabasha wengi wapo Zanzibar na pwani za Mombasa, Tanga, Dar etc?
Wadau nimepata taarifa kutoka Zanzibar, hali mbaya. Wazanzibari hawataki muungano kabisa, wametawanya mabango kila sehemu wakitangaza kwamba hawataki muungano.
Waarabu wa Omani ndio wanaosponsor harakati hizi ili muungano ukivunjika wajiunge na OIC harafu waarabu warudi tena.
Wanadai pia kwamba mipaka harisi ya Zanzibar inahusisha mile 40 za ukanda wa pwani ya Tanzania bara, kwahiyo muungano ukivunjika wanachukua babdari ya Mtwara, Dar na Tanga.
Nadhani itabidi muanze kuatafuta sehemu ya kujenga BOT, wazo la kuhamishia ofisi za serikali Dodoma linaweza likawa na mashiko balaa.
Zanzibar hali si shwari