fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 11,108
- 19,985
Mabango bila kuweka picha? weka humu tuone.
Muungano kama hawautaki kwani haramu? kwanza muungano ukivunjika ni faraja kwa chadema maana visiwani hawana kiti hata cha kuombea chumvi.
Kauli mbiu ya Uamsho ni "mpaka kieleweke", inakukumbusha nini hiyo? mie nilisikia uamsho wanapata misaadaa kutoka chadema.
Hivi kwanini kila jambo ambalo si la amani mnaisingizia Chadema? Kumbukeni kua hiki ni chama cha siasa na kina irani yake juu ya maendeleo ya nchii hii. Hizo ni propaganda za CCM na wale wenye upeo mdogo juu ya UONGOZI kusingizia CHADEMA kila mgogorn unaotokea ndani ya nchi hii. Udhaifu wa JK kushindwa kutatua kero na matatizo aliyoahidi kuyamaliza wakati wa kampeni ndizo zinazozalisha haya mambo yote especially migomo. I ain't no longer proud of being a tanzanian under this leadership.